Devotha Minja apewe uenyekiti PAC ni Jembe!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
36,076
29,633
Nashauri watani zangu wa Chadema maslahi kuwa wampendekeze Yule mbunge wao waliompa nishani ya umahiri wa kutetea wanyonge bi Devotha Minja aweze kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya PAC au LAAC.

Huyu dada anajua sana kuibua madudu hasa ukizingatia uzoefu wake katika tasnia ya habari katika kuibua maovu kwenye jamii.

CC: Salary Slip na Daudi Mchambuzi

Makamanda wote nyoosha mikono sema mabadilokoooo ...!
 
Ushauri mzuri sana. Tutaufanyia kazi mkuu
 
Nashauri watani zangu wa Chadema maslahi kuwa wampendekeze Yule mbunge wao waliompa nishani ya umahiri wa kutetea wanyonge bi Devotha Minja aweze kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya PAC au LAAC.

Huyu dada anajua sana kuibua madudu hasa ukizingatia uzoefu wake katika tasnia ya habari katika kuibua maovu kwenye jamii.

CC: Salary Slip na Daudi Mchambuzi

Makamanda wote nyoosha mikono sema mabadilokoooo ...!
Huyu hafai hata chembe kuwa kiongozi nawashangaa sana wanaompigia debe
 
Kwanza huyu si mwaminifu kwa mmewe ni fuska anayefumaniwa na mmewe kila mara na hata wakati wa kuapishwa alifumaniwa dodoma na pia amezaa na mwanaume mwingine akiwa kwenye ndoa

Aisee!
Lakini hayo ni masuala binafsi...
 
Elimu ya pale na pale yule. Pengine apewe kwa sababu ni shemeji yake Sumaye. Shida mnataka muonekane. Sawa na Kubenea alikuwa anataka.

Back
Top Bottom