Recent content by Shandong

  1. Shandong

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie wanaume mna maneno mazuri kweli

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  2. Shandong

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie wanaume mna maneno mazuri kweli

    Kabla hata sjamaliza kusoma iyo mistari dude limedinda balaa..
  3. Shandong

    JamiiForums Tanzania My playlist: Taja nyimbo ambazo siku haiwezi kuisha bila kuzisikiliza.

    Ww labda umechanganya madesa.. Hii nyimbo nnayo kabisa, kama vp ingia gugo ujifanye unataka kudanlodi nyimbo ya Motherland pasipo kuandika msanii alieimba, uone itakavyoleta
  4. Shandong

    JamiiForums Tanzania My playlist: Taja nyimbo ambazo siku haiwezi kuisha bila kuzisikiliza.

    Hii nyimbo kaimba Miriam Makeba akimshirikisha Yvonne Chakachaka
  5. Shandong

    JamiiForums Tanzania My playlist: Taja nyimbo ambazo siku haiwezi kuisha bila kuzisikiliza.

    My daily playlist Dj Alex Zouk lembra vol 2 Dj Jimmy ft Wizkid feel the beat Medley sweet africa Kcee ft Uhuru Walk & Do P square ft Akon Bedroom Ringtone ft Christina shusho Tenda wema
  6. Shandong

    JamiiForums Tanzania Dunia simama nishuke

    Alamba Alamba tena..
  7. Shandong

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

    Ronaldinho
  8. Shandong

    JamiiForums Tanzania Wakuu, poleni na majukumu mbalimbali ya ujenzi wa taifa

    Jaman naomba kujua baadhi ya wasanii toka Afrika ambao nyimbo zao zimewahi tamba kwny Billboard ya nyimbo 100 bora dunian huko Marekani
  9. Shandong

    JamiiForums Tanzania Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

    Morry Kante.. Yekeyeke,.. Huu wimbo uliingia hd kwny chati bora za Billboard na kufanya vzr sana.. Hd leo nkiuskilizaga nahis kama umetoka juzi juzi hapa
  10. Shandong

    JamiiForums Tanzania Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

    Yves Larock... Rise Up
  11. Shandong

    JamiiForums Tanzania Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

    Aisee umenikuna kwenyewe,.. Ni bonge moja la pini hili
  12. Shandong

    JamiiForums Tanzania Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

    Ntombi.. Ana nyimbo kama Waisupega, Marumbini, Etc
  13. Shandong

    JamiiForums Tanzania Kumamoto University inashikilia nafasi ya 19

    Pia Kuna mchezaji anaitwa Takuma.. Ni mshambuliaji chipukizi toka Japan
  14. Shandong

    JamiiForums Tanzania New Delhi: Tembea ujionee

    Ndio mkuu, ilitokea Chuo cha Bangalore,.. Ambapo mschana wa kibongo alivuliwa nguo hadharan kw kosa ambalo hakulitenda.. Yote hayo ni tabia za kibaguzi za wahindi [emoji19] [emoji19]
  15. Shandong

    JamiiForums Tanzania New Delhi: Tembea ujionee

    Safi sana kw makala nzr.. Nachowachukia wahindi Ni ubaguz tu.. Ila napenda muvi zao.. Na Ningependa kufika kwnz Kolkota (Calcuta) kabla Ya New Delhi
Back
Top Bottom