Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
Gheto-sholo mwamba
R CityLocked away....sijui kaimba nan? Somebody Livene
Dif I could turn back the hands of time
Nambari one ni ccm ya hayati capt komba
Ntombi.. Ana nyimbo kama Waisupega, Marumbini, EtcJaman mm nyimbo za "NTOMBI" Niliwah kulia miaka hiyo nilipokuwa nasikiliza japo sikuelewa anasemaje...na bahati mbaya huyu jamaa simpati mtandaoni nyimbo zake...sijui kama nakosea jina
Taio cruz - break your heart
G Easy - I mean it
EDWARD MAYA - STEREO LOVE
Daah huwa najisikia kama ninaelea mawinguni."Nasikia Kuitwa"- TENZI YA ROHONI
Wow country theengsTatizo mtoa mada umeegemea kwenye malavidavi tu......Mimi nyimbo nazozikubali na zinazonipa nguvu ya kusonga ni hizi mbili
1. I have a dream by West Life
2. Coward of the country by Keny rodgers