Recent content by Shammylovie

  1. Shammylovie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

    Kwan ndoa lazima? Huko kwenye ndoa wanagawa mishahara au... Uolewe ukapike, ufue ,Bado uwe na akili za kushauri Ili mfike mbali, uvumilie manyanyaso ,usaliti ,uzae, ulee.. kwa mahari ya milioni mbili na nusu..... Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu SIO LAZIMA KUOLEWA
  2. Shammylovie

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

    🤣🤣🤣🤣kwann mpwayunga jmn🤣🤣🤣
  3. Shammylovie

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

    N kweli maana katuzidi urembo.. nipo hapa na type huku tumbo langu la uzazi linavibrate halaf namuona kakadada anakiuno nyigu nitakosa makasiriko kwel?
  4. Shammylovie

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu angewapa waislamu mamlaka ya kuitawala dunia hivi ingekuwaje?

    Aisee umempa BAO la uso....
  5. Shammylovie

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Spa za Dar es Salaam kwa wafanyakazi

    Eeeh kwel ww n much know
  6. Shammylovie

    JamiiForums Tanzania Dkt. James Mataragio ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati

    Ss akiingia huy mwngne ndio umeme hautakatka?
  7. Shammylovie

    JamiiForums Tanzania Ulitumia mbinu gani kukabiliana na jambo gumu la kukukatisha tamaa mpaka ukalishinda?

    Hii ni kweli kbs mungu n Kila kitu hasa ukimtanguliza kwa Kila jambo iwe gumu ama furaha..
  8. Shammylovie

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wasema Mzozo wa DR Congo unapuuzwa kuliko migogoro yote duniani

    Ni wapi wanapata silaha nani anawa- organiz Nan anawa-finance Nan anafaidika na hayo machafuko... Kwny history ya advance Kuna topic ya threat of the word peace inaelzea n Hawa mabepari ndio wanafinance na kuwa benefited na hizi vita Africa ss y wajioneshe kama wanahuruma yaan wanauma na kupuliza
  9. Shammylovie

    JamiiForums Tanzania Dkt. James Mataragio ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati

    Ss kama n mvurigaj y asitolewe kbsa... Yaan they want to eat bread wenyewe tu na sio kuweka wengne wapya waone mabadiliko.. naamin Kuna members wengine ambao hawajapata nafas ya kutumikia nchi lkn wakipewa chance watafanya mabadiliko bt hawataki... Au they think kuleta member mpya ita-release...
  10. Shammylovie

    JamiiForums Tanzania Dkt. James Mataragio ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati

    This government n Kam inamfumo wa kinship watu wanazungula humo miaka nenda rud mpaka wafe then relatives zao ndio waje washke usukan Tena so nimulemule until death do them apart
  11. Shammylovie

    JamiiForums Tanzania Dkt. James Mataragio ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati

    Na Bado hatujasema n mpaka dj suluhu aamue mwenyew kuzima mziki Atupumzishe kdg Wana daslam
  12. Shammylovie

    JamiiForums Tanzania Dkt. James Mataragio ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati

    Yaan mi nikajua anafukuzwa kabsa kumbe anatolewa kwenye ugali anapelekwa kwenye mboga... Anyway I love my country
  13. Shammylovie

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Lisa

    Yaan hii hadithi ni kama kilevi lazima utake Tena na tena
  14. Shammylovie

    JamiiForums Tanzania Vyakula 7 vitakavyomfanya mtoto wako awe na akili zaidi

    Kama anaweza kutafuna vzr na akameza bila shida yyte bas n sawa ... Angalia ulaji wake upoje kama ztampa shda wakat wakula tafta kngne jamii ya samaki
  15. Shammylovie

    JamiiForums Tanzania Vyakula 7 vitakavyomfanya mtoto wako awe na akili zaidi

    Tatz wanakarr vtu sana na wanapenda kwa mazoea Kuna mafuta ya samaki yansaidia sana pia almonds
Back
Top Bottom