Uko sahihi,ya kuwa sio vizuri kuishi na vinyongo! Hilo nakubali! Nakubaliana na wewe pia kuhusu kusamehe. Nachosisitiza mimi ni kuwa baba kama huyo kumsamehe na kumfuta kabisa kwenye akili yako na mambo yako! Futa kabisa!! Hakuna tena kinyongo hapo kwa sababu hayuko kwenye fahamu/hisia zako...
Maneno kuntu kabisa!! Yamenigusa ku-moyo! Tuache unafiki, mababa wa aina hiyo ni kuwapotezea kabisa! Na yeye(baba asiyejitambua) aelewe hivyo kwa kauli na matendo yenu! Hakuna kumuonyesha jino!
W.A.H.IN.D.I wa nchi hii ni wa kutilia shaka katika harakati za mtanganyika kujiondoa katika mfumo wa kinyonyaji. Kwa ufupi ni k.u.p.e wa rasilimali zetu. Ni wakati wa kuanza kupambana nao!
sorry mkuu mshana jr, naomba msaada wa kujua hizi terois tofauti zake,naona kuna hii imesema inaitwa terois kid. Na vipi uimara wake(durability) kama alivyouliza mdau mmoja hapo juu. Kwa sisi wa mikoani/mashambani ambako barabara sio rafiki kabisa! Je inaweza kudunda kama escudo?
Juliana una hoja ambayo ni ya msingi kwa wanamabadiliko. Kama kweli kuna udhaifu basi BAVICHA/UKAWA waufanyie kazi kwa matokeo chanya, na sio kumbeza mwana Juliana Ambaye bado anaonekana ana mahaba ya dhati na chadema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.