Umakini: CHADEMA Urais mawakala watanunuliwa?

Kwa mujibu wa tafiti mbili zilizotoka, makomeo anapewa sapoti toka kwa wazee na wajinga ambao hawajasoma...so ww mwongozo junior utakuwa kundi la ambao hawajasoma.....

mwongozo junior utakuwa na nyota ya nguruwe mweusi!
usione soo kama vipi #toroka uje!
 
Last edited by a moderator:
Hivi hizi akili za hovyo mnazitoa wapi?Usinifanye niamini kwamba una such a small mind.Gwajima hata kama alimshawishi Lowassa kuja UKAWA, haimanishi kwamba anamtawala hata mawazo yake.Kama vile ambavyo wewe mtu anavyoweza kukupa wazo ukaliona la maana ukalifanyia kazi,naamini ndivyo ilivyotokea kwa Lowassa.Haimaanishi kwamba kwa vile alimshawishi kuja UKAWA basi he controls him like a robot.Hapana.Tusiwe na mawazo finyu namna hiyo jamani.
Waislamu msimpe lowassa kura. lowassa ameletwa ukawa na gwajima. Lowaasaa akishinda gwajima atakua na nguvu sana. Gwajima haupendi uislamu. Vile lowassa nae ana chembechembe za kuuchukia uislamu, wakiwa madarakani wataangamiza uislamu.

Waislamu amkeni. Semeni NO kwa lowassaaaaa

Lowasa ndiye aliesaini mkataba uliyoyapa makanisa haki ya kupewa ruzuku na serikali. Waislamu wameachwa bila ruzuku yoyote licha ya kuwa walipa kodi pia.

WALLAHI mkimpa kura lowassa mtaingia motoni
Mpeni kura magufuli. Siyo mdini
 
Mwongozo Junior acha kupandikiza chuki za kidini,hivi akili yako iko sawa kweli?.Tanzania ya leo bado kuna watu wana mawazo sitaki kuyaita ya kishenzi na kishetani kama haya ya kwako.Huo ujinga wako hakuna wakukusiliza na kufuata,kama huna kitu cha kuandika jifungie chumbani kwako ulale.Ushindwe wewe na aliyekutuma,hakika ulaaniwe na kila mpenda amani na mwenye mapenzi mema na nchi hii.
 
Waislamu msimpe lowassa kura. lowassa ameletwa ukawa na gwajima. Lowaasaa akishinda gwajima atakua na nguvu sana. Gwajima haupendi uislamu. Vile lowassa nae ana chembechembe za kuuchukia uislamu, wakiwa madarakani wataangamiza uislamu.

Waislamu amkeni. Semeni NO kwa lowassaaaaa

Lowasa ndiye aliesaini mkataba uliyoyapa makanisa haki ya kupewa ruzuku na serikali. Waislamu wameachwa bila ruzuku yoyote licha ya kuwa walipa kodi pia.

WALLAHI mkimpa kura lowassa mtaingia motoni
Mpeni kura magufuli. Siyo mdini

mwenyezi mungu kwa nini watu wa maana wanakufa unaacha huyu anarechoche udini? Mungu sisi ni wamoja kama hatutotengana kwa fitina za kiumbe huyu
 
Waislamu msimpe lowassa kura. lowassa ameletwa ukawa na gwajima. Lowaasaa akishinda gwajima atakua na nguvu sana. Gwajima haupendi uislamu. Vile lowassa nae ana chembechembe za kuuchukia uislamu, wakiwa madarakani wataangamiza uislamu.

Waislamu amkeni. Semeni NO kwa lowassaaaaa

Lowasa ndiye aliesaini mkataba uliyoyapa makanisa haki ya kupewa ruzuku na serikali. Waislamu wameachwa bila ruzuku yoyote licha ya kuwa walipa kodi pia.

WALLAHI mkimpa kura lowassa mtaingia motoni
Mpeni kura magufuli. Siyo mdini

Nadhani UMELAANIWA TAYARI.
 
hv kwa nn waumin wa hii dini ni watu wa kulalamika sana...? mbona umekua mchochez hvo? nani kakwambia gwajima anauchukia uislam? hizo chembe za lowasa kuuchukia uislam ni zp? other wise shut up your mouth and keep quite
 
siwatasafirisha wasimamiaji tokea arusha. au umesahau ule uchaguzi wa kalenga walisafirisha kutoka huko.

Wakati tume ikiwa inakwepa lawama, na wakati wahisiwa kadhaa wakiwapo waliokuwa viongoz wa juu wa ukawa waliosaliti chama na kuwaacha wananch wakilia kutoa maamuz wenyew ktk kumchagua rais lowasa. kaz itabak kwa kambi ya ukawa nani watamuamini kwenda kuangalia kuhesabu kura za rais,wabungu na madiwani.

Ikubukwe kuwa watanz wameapa kuchagua rais mwaka huu octoba 25,

Kwa ile ile hofu ya kuingiza watu mawakala watakao weza kununuliwa. Ni dhahili lazma kuna kila njia zitasakwa kununua watu watakao weza kupunguza kura.

NILAZIMA KULIJUA HILO MAPEMA
 
kwani wanachadema uji mdomoni hawatakiwi kuongezeka? au hii ni kwa wateuie wachache tu.
 
Wakati tume ikiwa inakwepa lawama, na wakati wahisiwa kadhaa wakiwapo waliokuwa viongoz wa juu wa ukawa waliosaliti chama na kuwaacha wananch wakilia kutoa maamuz wenyew ktk kumchagua rais lowasa. kaz itabak kwa kambi ya ukawa nani watamuamini kwenda kuangalia kuhesabu kura za rais,wabungu na madiwani.

Ikubukwe kuwa watanz wameapa kuchagua rais mwaka huu octoba 25,

Kwa ile ile hofu ya kuingiza watu mawakala watakao weza kununuliwa. Ni dhahili lazma kuna kila njia zitasakwa kununua watu watakao weza kupunguza kura.

NILAZIMA KULIJUA HILO MAPEMA

Huku kulialia huku.
Mbatiaphobia ishaenea kambi nzima.

Anyway Chadema na Ukawa kuaminiana ni kudogo kwa sababu uzoefu unaonyesha maslahi mbele.

Hata Mbowe katangaza sana. Tunafuata Maslahi. Uadui na Urafiki hauhusu 😆
 
Waislamu msimpe lowassa kura. lowassa ameletwa ukawa na gwajima. Lowaasaa akishinda gwajima atakua na nguvu sana. Gwajima haupendi uislamu. Vile lowassa nae ana chembechembe za kuuchukia uislamu, wakiwa madarakani wataangamiza uislamu.

Waislamu amkeni. Semeni NO kwa lowassaaaaa

Lowasa ndiye aliesaini mkataba uliyoyapa makanisa haki ya kupewa ruzuku na serikali. Waislamu wameachwa bila ruzuku yoyote licha ya kuwa walipa kodi pia.

WALLAHI mkimpa kura lowassa mtaingia motoni
Mpeni kura magufuli. Siyo mdini

Wewe ndo mdini namba 1
 
Lowasa anawapenda waislam na amefanya mengi sana kwa ajili yetu, kama haujui kaa kimya na udini wako.
 
Wakati tume ikiwa inakwepa lawama, na wakati wahisiwa kadhaa wakiwapo waliokuwa viongoz wa juu wa ukawa waliosaliti chama na kuwaacha wananch wakilia kutoa maamuz wenyew ktk kumchagua rais lowasa. kaz itabak kwa kambi ya ukawa nani watamuamini kwenda kuangalia kuhesabu kura za rais,wabungu na madiwani.

Ikubukwe kuwa watanz wameapa kuchagua rais mwaka huu octoba 25,

Kwa ile ile hofu ya kuingiza watu mawakala watakao weza kununuliwa. Ni dhahili lazma kuna kila njia zitasakwa kununua watu watakao weza kupunguza kura.

NILAZIMA KULIJUA HILO MAPEMA
ole wake wakala atakae saliti chama.yamfaa mtu huyo afungwe jiwe kubwa shingoni na akatoswe baharini.
 
Umeona mbali mkuu. Kulinda kwa uaminifu na majumuisho ya kura kutoka vituo zaidi ya 4000 ni changamoto ya kufanyia kazi kuanzia dakika hii!
 
hv kwa nn waumin wa hii dini ni watu wa kulalamika sana...? mbona umekua mchochez hvo? nani kakwambia gwajima anauchukia uislam? hizo chembe za lowasa kuuchukia uislam ni zp? other wise shut up your mouth and keep quite

we kocho umeloanishwa huko uwani eh? INA maana hakuna waislam upande WA lowasa? au una chuki na WA Islam ?
 
mawakala wa Act Tlp Chauma wote wanamuunga mkono Lowasa..
 
Ukawa wachomeke mawakala feki wakasimamie kura za CCM.
 
uwezekano wa kununua mawakala haupo labda ukawa wafanye na km ndio mpango wao basi mara hii hio njia haipo na wala msitafte sababu zile mbili bila za yanga naona zimemaliza kazi

Badala ya kuchangia wewe unakuja na uharo
 
Back
Top Bottom