Bush back safari anatuma watu kuchana mabango ya CHADEMA

Themi1

Senior Member
Jul 23, 2015
171
70
Tarehe 24 usiku saa 3 tuliwakamata vijana 2 maeneo ya Impala hotel walikuwa wametokea ofisini kwa bush back wakiwa na bendera za ccm,wakizibandika na kubandua za za chadema.Tuliwafutilia na nyuma wakiendelea kubandua picha za lowassa na lema ndipo tulipo mkamata mmoja mwingine akakimbia.Tulipo muhoji alikiri kutumwa na huyo muhindi,tukampeleka polisi.Baadae polisi wakamuachia wakaja mkamata kijana wa toyo kuwa eti aliusika kumpiga huyu kinara wakuchana bendera.vijana wa chadema tupo tayari kulinda mabango na kupambana na huyo muhindi.
 
Kwanza Bushback ameishiwa,wageni hana..anataka kuja kupewa fadhila za tenda na chama cha upinzani ccm
 
W.A.H.IN.D.I wa nchi hii ni wa kutilia shaka katika harakati za mtanganyika kujiondoa katika mfumo wa kinyonyaji. Kwa ufupi ni k.u.p.e wa rasilimali zetu. Ni wakati wa kuanza kupambana nao!
 
W.A.H.IN.D.I wa nchi hii ni wa kutilia shaka katika harakati za mtanganyika kujiondoa katika mfumo wa kinyonyaji. Kwa ufupi ni k.u.p.e wa rasilimali zetu. Ni wakati wa kuanza kupambana nao!
hivi wahindi na wachaga wana tofauti gani?
 
Wacheni kukurupuka nyinyi wanywa viroba,kikubwa kwenu ni ukabila NA udini HII ndio sera yenu.huyu mtu si mgombea wa si muhuni apasue mabango kwa faida gani? Kumbuka wakaskazini waliposema tz haiko teyari kwa uhuru wao walikua wanamchagi mwalimu kwenda un kudai uhuru.
 
Back
Top Bottom