Recent content by SHAKIULA

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nataka nianzishe foundations yakusaidia wanawake

    Mawasiliano plz
  2. S

    JamiiForums Tanzania Makaa ya mawe njia pekee kujikwamua na tatizo la umeme tanzania

    Hello, samahani nntakuwa nje ya topic kidgo, naomba mwenye ujuzi na free energy generator tuyajenge tafadhali!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dawa ya ugonjwa wa kisukari

    Assalamualaikum sheikh, naomba faida kuhusu MVUJE
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kupata whey protein kwa hapa Tanzania

    Aisée mkuu nahitaji hii kitu,na jee kwa mgonjwa aliepungukiwa protein itamsaidia!!? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Swali langu kwako, je ni dawa gani itakayosaidia mtu mzima 55yrs kuongeza protein kwa haraka !!? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Masaada computer yangu imezima ghafla ina heat Sana indicator ya charge inawaka ukiweka chaji ila ukiiwasha haiwaki kabisa hakuna indicator yyte ni Acer laptop Aspire E1-11 Tafadhali kama kuna fundi mzuri anisadie !!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza umeme kwa kutumia choo!

    Kaka hii mada kwa muda huu inanihusu sana, tafadhalii naomba share na mimi ulipofikia!!!
  8. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA wa kupata Flat screen spair

    Screen tu
  9. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA wa kupata Flat screen spair

    Nahitaji Kioo ( LCD)
  10. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA wa kupata Flat screen spair

    Hello guys tafadhali mwenye kufahamu wapi nntapata spair ya SAMSUNG FLAT TV inch 32 na Bei yake naomba nijulishwe nntaipataje nipo GEITA Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Pata bidhaa mbalimbali hapa

    au nitumi e kwa 0758396255
  12. S

    JamiiForums Tanzania Pata bidhaa mbalimbali hapa

    Asante sana, ungeweka bei ya kla bidhaa ingekuwa bora sana maana mm nahitaji kuwa mtumiaji tu ila si kujiunga!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Natoa ujuzi wanaotaka kazi za kutengeneza simu upande wa software

    Nahitaji sana hyo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kikao cha majadiliano kati ya CHAKAMWATA na wadau mbalimbali

    CWT mbona hawakaguliwi jamani, CAG inahusu vyama vya siasa tuuu
  15. S

    JamiiForums Tanzania BAKWATA na Waislamu wengine, kila kitu kinachofanywa na Serikali kiko sawa kwenu?

    Acha ajenge kaamua kutubu mbona sauli nae alitubu tu kunamtu alimuona gaidi baada ya hapo?
Back
Top Bottom