mzungu wapink
Member
- Oct 9, 2018
- 80
- 112
Anachosema inaenda sawa na jina lake. Ni mwongo.
HIV inaambukizwa kwa ngono na mtu yeyote asikudanganye.
Kwa yule aliokuwa anayo HIV, Hizi virusi zinapatikana kwenye; Damu (ikiwa ni pamoja damu ya hedhi), Semen, Secretions ya Uke na Maziwa ya matiti. Hivyo basi, mtu aliyokuwa anayo HIV atamwambukiza mwenzie kwenye ngono kwa urahisi tu.
Mtu anaweza kuwa na virusi vya HIV lakini asikuwe na Ukimwi. Ukimwi ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya HIV. Lakini huwa mtu anaweza akapata virusi vya HIV ikakaa bila dalili alafu baada ya miaka kadhaa inaanza kuonesha dalili ya Ukimwi, Hiyo inatokea mara chache.
Asante.
Unaweza kua na hiv ikajificha isionekane hata ukipima?
Sent using Jamii Forums mobile app