Pata bidhaa mbalimbali hapa

Pata bidhaa mbalimbali hapa

AFYA / NGUVU ZA KIUME / TEZIDUME1,099

Majani ya Mstafeli ni dawa bora ya saratani ya tezi dume

BY FADHILI · 15/10/2017

Majani ya Mstafeli ni dawa bora ya saratani ya tezi dume

Majani ya mti wa mstafeli yamekuwa yakitumika na watu kwenye misitu ya amazon kwa maelfu ya miaka iliyopita kutibu karibu kila ugonjwa. Ndiyo hii inaweza kuwa ni habari mpya kwako hasa kama wewe siyo mfuatiliaji wa mambo haya ya tiba asili kwa ujumla lakini sasa habari unayo.

Mti huu wa mstaferi ndiyo tiba asili pekee inazungumziwa sana na watu wote duniani kwa sasa kuhusu maajabu yake ya kutibu saratani mbalimbali ikiwemo saratani ya tezi dume.

Na hiyo yote ni kwa sababu nzuri tu ….

Majani ya mti wa mstafeli yanaziua seli za saratani mara 10000 zaidi ya mionzi. Na jambo la ajabu zaidi ni kuwa dawa hii haizidhuru seli hata kidogo tofauti na tiba ya mionzi ambayo inaziua mpaka seli nyingine zenye afya wakati wa matibabu yake.

Yaani dawa hii ya majani ya mstafeli huziwinda seli za kansa na kuziua huku ikikuachia seli zako zenye afya bora zaidi. Kama haitoshi majani ya mstafeli yanaongeza pia idadi na uwingi wa seli zako nyeupe za damu na kuongeza kinga ya mwili kwa haraka sana.

Majani haya yamethibitika siyo kutibu saratani au kansa ya tezi dume bali na aina nyingine za saratani zaidi ya 12 ambazo ni pamoja na:

1. Saratani ya damu
2. Saratani ya matiti
3. Saratani ya mlango wa kizazi
4. Saratani ya mapafu
5. Saratani ya ini
6. Saratani ya mdomo
7. Saratani ya kwenye ulimi
8. Saratani ya kongosho
9. Saratani ya kwenye mji wa uzazi
10. Na sratani nyingine nyingi

Majani ya mstafeli ni dawa nzuri dhidi ya bakteria na fangasi mbalimbali mwilini na hivyo ni kinga dhidi ya maambukizi ya kila namna.

Majani ya mstafeli yanatibu pia:

1. Kisukari
2. Gout (maumivu ya jongo)
3. Maumivu ya mgongo
4. Yanaongeza kinga ya mwili
5. Yanaimarisha afya ya tumbo kwa ujumla
6. Kufunga choo
7. Msongo wa mawazo (stress)
8. Yanaimarisha afya ya nywele
9. Yanaimarisha afya kwenye mfumo wa upumuwaji
10. Yanaongeza afya ya ngozi
11. Mazuri kwa afya ya moyo
12. Yanadhibiti homa na kutuliza joto la mwili

Dawa kubwa ya saratani ambayo watu wengi hawaifahamu …

Kuna wakati namtafakari Mungu na nashindwa kupata majibu kwamba kuna wakati watu wanateseka sana lakini bila sababu yoyote maalumu zaidi ya kukosa tu maarifa.

Kile nitakushangaza kidogo hapa ni kuwa uwezo huu wa majani ya mstafeli kutibu kansa uligundulika tangu mwaka 1976 na taasisi ya saratani ya Marekani lakini matokeo yake hayajawahi kuwekwa hadharani kwa watu!

Kwanini hawakutaka kutangaza kwa watu?

Hakuna mtu anayejuwa kwa hakika sababu ni nini iliyowafanya wabaki na matokeo hayo bila kutangaza kwa watu. Hata hivyo wengi wanaamini ni kutokana na vipimo na matibabu ya ugonjwa huu kuwa ni dili kubwa kwa viwanda vya madawa na biashara kubwa kote duniani.

Sababu kuweza kutibu ugonjwa mkubwa hivyo (kwa mjibu wa maoni yao) kwa kutumia mmea rahisi hivyo kupatikana ni jambo lisilo na faida. Matatizo mengi ya binadamu chanzo chake kikuu cha matatizo hayo ni hela.

Pamoja na hayo Mungu yupo na hatatuacha watu wote tuangamie kijinga hivyo. Wachache atatuokoa tu kwa namna yoyote. Hivyo watu wengi tayari wameanza kugeuka upande huu wa pili na tayari wanaona faida zake.

Utatumiaje majani ya mstafeli kama dawa?

Namna nzuri zaidi na ili kujihakikishia unapata faida zake kwa kiwango cha juu kabisa ni kutumia juisi freshi ya majani haya. Unachohitaji ni kuwa na blenda ya umeme, maji na majani mabichi ya mstafeli. Tengeneza juisi yako tuseme majani 6 unaweza kutengeneza juisi vikombe viwili (nusu lita) na unywe kikombe kimoja (robo lita) kutwa mara kila nusu saa kabla ya chakula cha asubuhi na cha jioni kwa mwezi mmoja mpaka miwili.

Ni dawa nzuri kwa kansa karibu zote pia inaondoa uvimbe wa aina yoyote.

Unaweza pia kutengeneza chai ukitumia majani haya, unaweza pia kukausha majani yake na utwange au usage mashineni upate unga wake lakini bado juisi freshi ndiyo itakupa matokeo mazuri zaidi.

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Kama yanatibu si yangepandwa hospitali
 
```Pokea hiii Training Ya Leo::
```
``` BF SUMA Company Profile......
Maana ya BFSuma ni
B- Bright ,,
F-Future ,,
S- Superior ,,
U-Unique,
M-manufacturer of
A -America...
Mnamo mwaka 1993- bfsuma walianzia Hongkong {China} {kama kampuni ya kuzalisha madawa} kama kampuni ya kuzalisha madawa ya mifupa na viungo {bones &Joints}.. ```

```Mnamo mwaka 1995 - kampuni ilipanuka na kujifungua Marekani katika Jiji LA Gharama kuishi Los Angeles na kuweka kiwanda Cha Kuzalisha Virutubisho {food Supplement}...

Mnamo mwaka 2000:- kampuni ilipewa Vibali na Vyeti Vya kutambua Ubora wao kama :- G.M.P {Good Manufacturing Practice} na FDA {Food and Drugs Adminstration},,baadae kampuni tena Ikaendelea Pata Vibali kama G.L.P {Good Laboratory Practise } na Halal:- kibali cha utambuliz kwa jamii ya kiislamu na imani kuwa halali kwa matumiz..```

```2004:- Waliweza kufungua solo lao Africa kupitia nchi iitwayo Benin

2011:- kampuni ilisogea hadi nchi jirani ya Kenya na kutua Afrika Mashariki...ambako imezaa vyema na kustawil Sana hadi sasa

2012:- Waliweza kuingia Tanzania na kusajiliwa kisheria na kufanikiwa kupata kibali cha TFDA,makao makuu ya TANZANIA Yako Dar MIKOCHENI ambapo walinunua jengo LA ghorofa ..
Mnamo mwaka 2013:- waliweza kuingia Uganda,Nigeria ,Zambia na wanaendelea kupanua masoko yao katika nchi zingine za Africa...
Bfsuma Africa ,wako na wanachama au wasambazaji wasio pungua 10,000 na sasa ni zaidi ..........
BFsuma we care ,we share.....```

```****TRAINING TIME****.
Makundi Ya Bidhaa Ya BFsuma...

√Bidhaa za Mifupa na Viungo kama::
1.Gluzojoint Capsule
2.Zaminocal Capsule
3.Arthroxtra Tablets
4.Arthrostreth Tablets
5. Dr Cow Calcium Milk Candy.

√ Bidhaa za Kuongeza kinga za Mwili na kutibu kansa.
1. Pure & Broken Ganoderma Spores..
2. Refined Yunzhi Capsule..
3. Spirulina Capsules
4.Immunstrong Colostrum Powder
5. IMMUNE COFFEE
@4 in 1 Reish Coffee
@4 in 1 Ginseng Coffee
@4 in 1 Cordyceps Coffee

√ Bidhaa za Mmeng'enyo Wa Chakula Tumboni na Kutibu Vidonda Vya Tumbo....
@Constirelax Solution
@antidiarr Pills.
Novel depile Capsules.

√ Weight Management./ Bidhaa za Kupunguza Unene.
@Xlim Express Capsules/Coffee....
@Xlim Constant Capsules/Coffee....

√ Bidhaa za Kuongeza hamu/ Nguvu za Tendo LA Ndoa na Kutibu matatizo yote ya kizazi na tezi dume....
@Manxtra tablets
@Xpower man Capsules
@Prostatrelax Capsules.

Bidhaa za Kutibu maradhi ya moyo(pressure,kisukari,kupooza,mzunguko Wa damu, kupunguza kolesto, kumbukumbu,macho n.k)..
"Cardiovascular health"
@Micro2 Cycle Tablets
@Cerebrain Tablets
@Glugogone capsules
pressure Free Tea.

√ Bidhaa za Matumiz Binafsi na Usafi/ Personal Care....
guardian Angel
-day Sanitary Pads
-Night Sanitary Pads.
-Panty liner.
@ Femicare
Soap
-anatic herbal essence soap
-Oliver Oil Repair soap```

```Nb:- bf Suma ndio wanaoongoz kwa Utafit,maabara, kuzalishia na kusambaza Bidhaa asili za thamani na viwango vya kimataifa juu na matumiz ya tecknolojia 5 bora za kisasa isiyo haribu u asilia Nazo ni
1.Amino Acid Chelation Technology (AAC).
2. Combine Cryo-Enzym & Dua - Micronization Technology.
3. Nano- Transderm Technology.
4. Macroporous Absorption Resin Technology.
5. Membrane Tech..

******** ******* ******

Namna Ya kuwa mwanachama Wa Bfsuma na maelezo ya kulipwa kwako.....```

```1. Kujiunga ni Shs 40,000 /= Tshs.. Utapata kitukinaitwa "Starter kit" ambayo ni
kadi ya uanachama
Kitabu cha Bfsuma maelezo + mfumo Wa malipo+ Bidhaa zake zote.
@Bidhaa moja ya kutumia kama mwanachama ambayo ni kahawa moja inaitwa Reish au Cordycepys Coffee au Ginseng unapata Sachet 10 ndani..
@Cd/DVD
beji ya Kampuni ambayo unaivaa kwa juu ya nguo ni kipini kidogo..```

***** ******** *********

```Baada ya kujiunga hivi vinafuatazo ni...
Faidida 8 Utakazopata (kulipwa)....74%.

1. Faida ya Reja reja 20% ,, pale unapomshirikisha jamaa+ ndugu+ rafiki+ kaka dada weka faida kama hivi Bidhaa inauzwa 10,000 weka 10,000 jumla ni 20,000 ile 10,000 inayoongezeka ni faida yako kaa nayo mfukoni kampuni haiusiki hapo ....

2..(O.P.B) haya ni malipo yatokanayo na manunuz yako binafsi na manunuz ya kila MTU kwenye mtandao wako na ni asilimia 5% hadi 28% ukiwa unapanda madaraja...

3.(L.D.B) haya ni malipo ya ziada utakayolipwa kwa kukutambua kama Kiongoz Wa Mtandao wako 25%..

4..(L.S.B) pia haya ni malipo mengine ya ziada kwa juhud zako za kuwaunganisha watu wengi chini ya wale watu wako watatu uliowaunganisha kilammoja utafaidika asilimia 6.5%.

5.Specia Cash Support:-haya pia ni malipo mengine ya ziada kutokana na Mauzo ya timu yako yote pamoja hapa unaongezewa dola 50 kwa kufanya point 1500 wewe na Team yako na hii ni maalum kwa watu Wa star 4 tu hapa unalipwa Mara 3 yani miezi 3 tu ,ukipanda daraja hii haikuhusu...

Pia kwa Star 7 leader kampuni inakuongezea malipo ya 3% ya ziada kwa kufanya point 1500 na hii pia unalipwa Mara

3...unachotakiwa ni kukidhi Vigezo na masharti....

6..(L.G.B) Malipo Mengine ya Ziada kutoka kwa faida za Bfsuma wanapata kilamwezi duniani nzima Nazo ni 3% utapewa kila mwezi..

7..{L.T.F} kila atakaye fanya Point 40,000 na team yake ndani ya mwaka 1,kampuni kwa ajili ya kukupeleka Safari ya kimataifa ambayo ni holiday ya wiki moja kila mwaka kWa gharama zote za kampuni zaid ya million 4 au Mil 8 ,milango iko wazi kwa yeyote aliyejiunga hata wewe unaweza kwenda ,,hii imeshatokea kwa wanachama kwenda Hongkong ,Amerika los Angels ,Visima Vya Hawaii , Dubai yani unaenda huko kula bata na kufurahia maisha ....

8..(L.C.F} kampuni inatoa Machine (magari ya aina mbili)aina ya Gari aina ya Prado au Range lenye thamani Tshs 50,000,000\= au 25,000 $USD na 12,5000/25million kama Harrier au SUV cars ,,hapa utaipata kila baada ya miaka 1 kila anayejiunga anatakiwa kufanya point 120,000 kwa mwaka yeye na team yake...kama una ndoto ya kuendesha Magari ya Nguvu Mapya hii no fursa yako kila mwaka utapata gari Yes kila mwaka bfsuma inatoa magari na hii imeshatokea kwa Uganda Mara 3 na juzi 22July gari 4 zimetolewa na 23 June kenya Mombasa zilitolewa Machine 6 za nguvu ,,,,sasa hii no Fursa iko wazi kwa kila mwanachana hata wewe uliyejiunga Leo,,Pigana piga kazi utaona ..```

```Nb: Hizi faida 8 una fursa bora ya kuzipata ndani ya mwaka 1 au 2 au 3 au 4 au hadi 5 kwa jumla Bfsuma wanalipa hadi asilimia 74% ya faida wanayopata kila mwezi...

Kumbuka kupitia Bfsuma unafursa ya nzuri sana ya kutimiza Ndoto zako za maisha kwa muda usiozd miaka 5 , upate magari + na Safari za dunia kando na bonus ya Uhuru wa Fedha au (salary) kila mwezi............._ preparead by yusuph mbaruku(yuzo) ```
 
*WOMEN'S EMPOWERMENT*

*Ujumbe muhimu Kwa wanawake wote wa mkoa wa dar es salaam*

Kama wewe ni mwanamke ambae unataman kufanya biashara zako basi ujumbe huu unakuhusu..

Tunapenda kuwaalika kwenye semina kubwa ya kijasiriamali itakayofanyika makumbusho stand goropha ya pili karibu na supermarket ya choppies...

Lengo la semina hii nikuwainua wanawake wote wanaohitaji kuwa wajasiriamali Kuwa na mshikamano thabiti kutengeneza kipato endelevu nakuacha kutegemea wanaume zetu...

Thibitisha uwepo wako.
Wanawake tunaweza.

Ukimuinua mwanamke mmoja umeinua dunia nzima.

Kwamawaelezo zaidi piga cmu namba 0677323740
0763403040
0769103506
 
au nitumi

e kwa 0758396255
hii namba ndio unayo itumia watsup
IMG-20180507-WA0014.jpg
 
*WOMEN'S EMPOWERMENT*

*Ujumbe muhimu Kwa wanawake wote wa mkoa wa dar es salaam*

Kama wewe ni mwanamke ambae unataman kufanya biashara zako basi ujumbe huu unakuhusu..

Tunapenda kuwaalika kwenye semina kubwa ya kijasiriamali itakayofanyika makumbusho stand goropha ya pili karibu na supermarket ya choppies...

Lengo la semina hii nikuwainua wanawake wote wanaohitaji kuwa wajasiriamali Kuwa na mshikamano thabiti kutengeneza kipato endelevu nakuacha kutegemea wanaume zetu...

Thibitisha uwepo wako.
Wanawake tunaweza.

Ukimuinua mwanamke mmoja umeinua dunia nzima.

Kwamawaelezo zaidi piga cmu namba 0677323740
0763403040
0769103506
 
IFAHAMU U.T.I NA TATIZO LA WANAWAKE KUWAHI KUCHOKA AU KUTOTAMANI TENDO LA NDOA

UTi ni ugonjwa ambao unasumbua watu wengi; watoto, vijana na watu wazima.

UTI (Urinary Tract Infection); ni maambukizi kwenye njia ya mkojo. ambayo chanzo chake kikubwa kipo kwenye sehemu ya haja kubwa(anus)au kwenye utumbo mpana(large intestine)kwanini imekua u.t.i?kabla ya kua u.t.i kulikua na vimelea ambavyo vinaishi katika eneo la haja kubwa ambavyo ni ulinzi wa eneo hilo,ila ukivihamisha kutoka eneo hilo nakupeleka eneo lingine haviwi ni ulinzi bali ni mashambulizi,kwa kawaida mwanamke ameumbwa na centimetre 1-4 kutoka nje kwenda ndani kwenye njia yake ya haja ndogo ila tu milango yako ipo wazi sana na ni rahisi kupata maambukizi,sasa wanawake wengi baada ya kujisaidia haja kubwa hujisafisha kutoka nyuma kwenda mbele na hapo ndipo wanapohamisha vile vimelea na vikifika njia ya mkojo vinakua ni mashambulizi na ndipo vinaitwa (urinary track infection)U.T.I.na ukishapata hivo vibacteria kwanza vinaenda kudhoofisha kinga za uke(normal flores)ambao hao nomal flores wenyewe hua wanaishi kwenye ute wa kike(lactic acid) hivyo inakua ni rahisi kupata mashambulizi ya magonjwa mbalimbali.

Ugonjwa huu hushambulia figo (kidneys); ureters; ambayo ni mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo, kibofu cha mkojo (bladder) na urethra; sehemu inayotoa mkojo toka kwenye kibofu cha mkojo hadi nje ya mwili.

AINA ZA U.T.I
A) lower U.T.I
Lower U.T.I ni hatua ya ugonjwa kushambulia maeneo ya urethra na
kibofu cha mkojo (bladder). Katika hatua hizi, mgonjwa atasikia dalili
zifuatazo:
1. Maumivu wakati wa kukojoa
2. Kujisikia kukojoa mara kwa mara lakini kutoa mkojo kidogo tu
3. Damu katika mkojo
4. Mkojo wenye rangi ya chai
5. Mkojo wenye harufu kali
6. Maumivu ya kiuno kwa wanawake
7. Maumivu ya sehemu za nyuma kwa wanaume

B) Upper U.T.I
Upper U.T.I ni maambukizi ya ndani ya figo. Hii ni hatua mbaya sana
endapo bacteria wataanza kuingia kwenye mkondo wa damu kutoka
kwenye figo – SEPSIS. Sepsis huweza kusababisha msukumo wa
damu kuwa mdogo sana (Low Blood Pressure), mshituko au kifo.

Dalili za upper UTI ni:
1. Maumivu ya maeneo ya juu ya mgongo
2. Homa
3. Kusikia baridi
4. Kusikia kichefuchefu
5. Kutapika

Ukiipuuza U.T.I Unaweza kupata athali kubwa sana kama zifuatazo

1.Figo kushindwa kufanya kazi (kidney failure) hii ni hatari sana ,hutokana na bacteria kushambulia figo
2.Kupatwa magonjwa ya kibofu ,kama kibofu kuziba ,kushindwa kukojoa ,hii hupelekea MTU kukojoa kwa mirija
3 .maumivu ya mgongo, kiuno na NYONGA
4.kupoteza hamu ya tendo la ndoa.nk.
5.kuharibu homon(hormon inbalance)
6.mimba kuharibika
7.kishindwa kubeba mimba.

TIBA IPO NA KWA SASA UNATIBIKA KWA UHAKIKA NA HARAKA.
tiba pekee ya tatizo hili ni bidhaa mbili tu ambazo ni REFINED YHUNZH NA FEMICARE.ambazo zinaenda kufanya kazi ya kumaliza matatizo yote tajwa hapo juu .
IMG-20180508-WA0057.jpg
IMG-20180508-WA0058.jpg

mawasiliano

Kwanza chanzo ni mkyndu?
Mbona wanaume mkyundu upo mbali na wanaugua UTI?
Nani kawadanganya au unataka uuze midawa yako
 
Back
Top Bottom