Natoa ujuzi wanaotaka kazi za kutengeneza simu upande wa software

Kidogo nilicho nacho nakitoa kwa wengine bure kabisa, ntakufundisha softwares za simu ujipatie kipato, maisha ya sasa ujuzi muhimu ili ujiajiri. Njoo pm, wenye uhitaji tu.
Mm hapa chief ni fund sm ila upande wa soft ni 0 kbaaaa
 
Back
Top Bottom