Makaa ya mawe njia pekee kujikwamua na tatizo la umeme tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makaa ya mawe njia pekee kujikwamua na tatizo la umeme tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Uliza_Bei, Apr 4, 2011.

 1. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Jamani naomba kuwaletea ukweli huu: makaa ya mawe ndiyo nishati inayoongoza duniani kwa kutoa umeme hasa katika nchi zilizoendelea ikifuatiwa na hizi zingine za nyuklia, maji na hata non renewables kama umemejua. Tanzania tuna reserve kubwa sana ya makaa ya mawe, waulizeni wataalam wa nchi hii watawaambia. ni aibu kubwa mpaka sasa hatujaanza kutumia nishati hii wakati waziri anajua hili kaambiwa na wataalam na hata JK namshangaa kama hajui na kama anajua kwanini ananyamaza wakati hawa vigogo wanaendelea kutengeneza pesa kifisadi katika majenerata na umeme wa maji usiokuwa na tija wala nafuu? Wananchi wenzangu tuamke tupige kelele....Stamico kama wanasema kwenye mafaili tunawaomba waseme hata kwenye jamii kama njia ya kushitakia ktk jamii ili tatizo la umeme liishe nchini.
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Weeee unadhani kuna mtu hajui hiloo ufisadi unatumaliza saana nchi hiii unatufanya tuwe wanafiki!
   
 3. MANI

  MANI Platinum Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Utakapoanza mradi wa kufua umeme kwa kutumia makaa ya mawe ujue miradi ya watu itakwisha kama IPPTL,DOWANS na mingineyo. Hilo linajulikana na linawezekana lakini kuzalisha umeme kwa njia hiyo hapa kwetu ni mwiko kwani wenye miradi hiyo midogo wana maslahi yao binafsi.
   
 4. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Tunaimba kwaya hiyo kila siku humu JF ila mafisadi mpaka warekebishe maslahi yao kwanza ndio watakuja na santuri ya mpya.
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Binafsi huwa sielewi ni kwa nini tamaa ya fedha inamfanya kiongozi awaue wananchi wake halafu ana kaa anachekelea akiona wananchi wake wanakufa kwa hali mbaya ya maisha.

  TANESCO kuna wataalamu wazuri tu lakini tatizo ni CCM. Viongozi wa CCM wengi ni wezi wa mali ya umma so wanatumia mgongo wa mikataba mibovu kama njia yao ya kupatia kipato. Fikiria mtu kama makamba....anachanzo gani cha pesa kama siyo kutegemea 10% ya mikataba mibovu ya akina rostam aziz?

  Jiulize, kwa nini tuendelee kukodi mitambo ya gesi wakati makaa ya mawe tunayo?? au kwa nini basi tusinunue wenyewe mitambo ya gesi??? Hapo unakuta ktk mtambo unaokodiwa kuna 10% ya wakubwa fulani au wao ndo wanakodi mitambo kwa bei nafuu alafu wanaipiga cha juu na kuidai TANESCO zaidi ya bei halali.

  Kwa ufupi viongozi wengi wa CCM ni madalali wa watu fulani nje lakini mali inayouzwa na madalali hawa wa CCM ni ya watanzania maskini.
   
 6. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,802
  Likes Received: 2,576
  Trophy Points: 280
  Average power output ya coal fired power plant about 670 MW
  .Combined hydropower output ya taifa ( kihansi,mtera,kidatu etc) is about 580 MW,Believe me we got priorities wrong sijui kwa kusudi or otherwise,
   
Loading...