Dawa ya ugonjwa wa kisukari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya ugonjwa wa kisukari

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, Jul 19, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  >>>>Upate aina za dawa zifuatazo, kila moja kiasi cha gram 100, saga
  >>>>pamoja na dawa zifuatazo:
  >>>>1. Shubiri
  >>>>
  >>>>2. Ubani
  >>>>
  >>>>3. Mvuje
  >>>>
  >>>>4. Ukwaju
  >>>>
  >>>>5. Habasoda
  >>>>
  >>>>(kiasi cha dawa hizi hazijatwangwa, hivyo jaribu kukadiria
  >>>>mwenyewe) baada ya kusaga vizuri, gawanya katika mafungo matatu
  >>>>yaliyosawa. Changanya fungu moja na maji kiasi cha chupa mbili na
  >>>>uchemshe kwa dakika kumi. Ipua na iwache ipoe, chuja na hifadhi
  >>>>katika chupa nadhifu.
  >>>>
  >>>> MATUMIZI YA DAYA YENYEWE
  >>>>
  >>>>Tumia kila siku kikombe kimoja cha kahawa kabla ya kula chochote
  >>>>asubuhi kwa muda wa siku 13. Ikiisha dawa hii basi chukua fungu
  >>>>la pili na uchemshe kama ulivofanya kwa fungu la mwanzo. Tumia
  >>>>daya hii tena kwa muda ule ule wa siku 13.
  >>>>
  >>>>Itakapokwisha dawa hii basi chukua fungu la tatu na uitayarishe
  >>>>kamaUlivyofanya mafungu mawili ya mwanzo. Tumia dawa hii kama
  >>>>dawa hizo mbili za mwanzo ila tu kwa muda wa siku 14 , hii
  >>>>itafanya jumla ya siku za kunywa daya kuwa siku 40.
  >>>>
  >>>>Baada ya siku hizo 40 utajisikia kuwa ugonjwa wa kisukari
  >>>>umekwisha na unaweza kuanza kula vitu vyote ulivyokuwa
  >>>>umekatazwa. Inshallah kwa kudra zake mwenyezi mungu utakuwa
  >>>>umepona maradhi hayo.
   
 2. K

  Kinombo JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2010
  Joined: Feb 24, 2007
  Messages: 332
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye bold ni vipi?
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  hata mimi kaniacha...halafu mvuje na habasoda ndio nini?....na ubani huwa unaliwa?
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Habati Soda kwa kiingereza inaitwa ( Nigella sativa Seed) Mvuje kwa kiingereza inaitwa ( Asafetida ) Nenda kwa maduka ya dawa utapata hizo dawa dawa.
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  kwenye maduka ya dawa ya kizungu au ya kiarabu?
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Maduka ya Kiarabu zinapatikana hizo zote Usisahau kusema (Thanks)
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Huu mseto una expire baada ya muda gani yaani?Side effects (counter indication)
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Dawa za Kienyeji hazina mambo ya ( Side effects counter indication) na hata kama zitakuwa na side effects itakuwa ni ndogo sana zaidi ya dawa za kizungu. Expire yake ikizidi zaidi ya mwaka mmoja tangu uitengeneze
   
Loading...