Tafiti katika nchi nyingi za kiafrika zimeendelea kuonyesha kuwa asilimia kubwa ya vijana hawashiriki katika mchakato mzima wa chaguzi za kisiasa kuanzia kujiandikisha katika madaftari ya kudumu Hadi kupiga kura.
Sababu nyingi zinatajwa na vijana wenyewe lakini sababu kuu mbili...
Unaishi dunia ya wapi ndugu?
Utekelezaji wa ahadi ni hatua kwa hatua waulize walimu wenyewe !
Hivi Sasa kila mratibu elimu na kila mkuu wa shule za msingi nchi nzima Ana tablet ya kisasa! Hata Hilo haliihitaji pongezi??
Kilichonifurahisha baada ya kupitia uzi huu ni Kuona jinsi wachangiaji wengi wanavyoujua ukweli kuwa kwa makubwa Mh. Magufuli aliyoyafanya, 2020 CCM ushindi lazima, na ndio maana wengi hawakanushi kuwa Magufuli hatochaguliwa ila wanaonyesha wasiwasi wao dhidi ya Mwanri kwa nafasi ya PM.
Kazi...
Tumewasaidia kutatua mauaji ya kimbari wakati wa kibaki !
Nyie mmetisaidia nini Zaidi ya kutuhujumu Kama mlivvyo faNya kwa dili zetu za Uganda na Rwanda
Kuwa na ujasiri wa kumface kigogo unasaidia!
Mimi nilishawahi kuzungushwa zaidi ya miezi sita pale utumishi kila nikienda naambiwa faili bado liko kwa mkurugenzi mmoja halijashuka bado!
Nikanyooka kwa waziri kariuki na hasira ili aniambie huyo mkurugenzi anayekaa na faili miezi sita bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.