Rais, Nakuomba tafadhali 2020 mchague Aggrey Mwanri kuwa Waziri Mkuu

Umewaza Kama Mimi aisee.
Na kingine majaliwa Hana mambo ya kuigiza Kama watu wengine.
Kassim majaliwa ndio kiongozi wa pekee anbaye anafanya kitu anachokijua wengine wote waliobaki wanaigiza tu ili waonekane na Raisi.
Kama ingekuwa ni amri yangu, basi Majaliwa baada ya uchaguzi wa 2025 awe Raisi, hakika ataifanyia Tanzania maajabu. I love the guy for real
 
Hivi unaamini kabisa ufipä wanatoa rais 2020? Hatari sana hizi ndoto..

Jamani, mbona ni ndoto za mchana upinzani kuchukua madaraka 2020????? Kama walilishindwa wakati CCM ilikuwa ICU katika hospitali ya Apollo India, watawezaje kwa sasa kipindi hiki???
 
Jamani, mbona ni ndoto za mchana upinzani kuchukua madaraka 2020????? Kama walilishindwa wakati CCM ilikuwa ICU katika hospitali ya Apollo India, watawezaje kwa sasa kipindi hiki???
Hahahaaaaa
 
Kilichonifurahisha baada ya kupitia uzi huu ni Kuona jinsi wachangiaji wengi wanavyoujua ukweli kuwa kwa makubwa Mh. Magufuli aliyoyafanya, 2020 CCM ushindi lazima, na ndio maana wengi hawakanushi kuwa Magufuli hatochaguliwa ila wanaonyesha wasiwasi wao dhidi ya Mwanri kwa nafasi ya PM.
Kazi nzuri Magufuli,wamenyooka.
 
Hilo halina ubishi kura tutampa ila tunaomba Mwanry awe PM
Kilichonifurahisha baada ya kupitia uzi huu ni Kuona jinsi wachangiaji wengi wanavyoujua ukweli kuwa kwa makubwa Mh. Magufuli aliyoyafanya, 2020 CCM ushindi lazima, na ndio maana wengi hawakanushi kuwa Magufuli hatochaguliwa ila wanaonyesha wasiwasi wao dhidi ya Mwanri kwa nafasi ya PM.
Kazi nzuri Magufuli,wamenyooka.
 
Huyu jamaa mjinga kabisa. Majaliwa is one of thtr best Premier this country has ever seen.
 
Back
Top Bottom