Recent content by shaibumwinyimvua

  1. shaibumwinyimvua

    Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

    We muandishi wa taarifa hii ni mburura,una mtindio wa wa chadema kwenye I qu yako
  2. shaibumwinyimvua

    Natafuta kiwanja Dar kwa sh milioni moja ya Kitanzania.

    Njoo in box tungee Mimi ninacho,kipo jangwani,upande WA kusini kinapakana na makao makuu mabasi ya mwendokasi, kaskazini klabu ya yanga.barabara IPO .umeme na maji huulizi
  3. shaibumwinyimvua

    Hawa hapa Waliochaguliwa Kidato cha tano, Wanafunzi 3,000 waliofaulu waachwa

    We c msomaji,unajishow tu.usiende kaa kwenu uwecheze na hause garl
  4. shaibumwinyimvua

    Msaada wa chuo wakubwa

    Nenda CHUO cha taifa cha utalii kule kuna masomo ya Upishi,mapambo na kuhudumia wateja.
  5. shaibumwinyimvua

    Nimeshindwa kufanya maamuzi yupi anafaa kati yao na naogopa kukamatwa

    Endelea nao wote twice but ukipata ngoma rudi kwa bi mkubwa akushauri vizuri.
  6. shaibumwinyimvua

    Wadada: Acheni kubania namba mtakosa waume wa kuwaoa

    Angalia,usije pewa namba za Gari ukazimia bureeeeeee
  7. shaibumwinyimvua

    David Beckham yupo Tanzania

    Kwani Beckham ndio nani
  8. shaibumwinyimvua

    Tabia ya mke wangu kuniaga 'naenda kulala', sijaipenda

    Tatizo liko wapi,mwache akalale.labda kuwa wazi au unanyinyimwa chakula cha usiku.
Back
Top Bottom