Nimeshindwa kufanya maamuzi yupi anafaa kati yao na naogopa kukamatwa

ndakushima

JF-Expert Member
Jul 27, 2015
220
124
Hello family!!!
Imefahamika kwamba wanaume ndo wanachagua mtu wa kuishi naye ndoa
Pia kumbe hata wanawake pia yatupasa kujua ni mwanaume gani anaweza kukufaaa na mkaishi kama mume na mke wa baadae!! Sasa ninao wawili na woote wanasifa nmeshindwa nimchague nani!?

Please help nifanyeje nipo dailema!!!?? Japokuwa mmoja hajawahi niambia ila anaonyesha nia tu and mwingine alishawahi niambia na ndo nina muda nae mrefuu sana ila mpaka sasa hakuna kinachoendelea so as a human being am tired
 
hello family!!!
Imefahamika kwamba wanaume ndo wanachagua mtu wa kuishi nae I mean (ndoa)pia kumbe hata wanawake pia yatupasa kujua ni mwanaume gani anaweza kukufaaa na mkaishi kama mume na mke wa baadae!! sasa ninao wawili na woote wanasifa nmeshindwa nimchague nan!? please help nifanyeje nipo dailema!!!??thou mmoja hajawahi niambia ila anaonyesha nia tu and mwingine alishawahi niambia na ndo nina mda nae mrefuu saana bt up to now hakuna kinacho endelea so as ahuman being am tired
Unawapenda wote? Kama ndio, kuna aliyemzidi mwenzake. ....
Huyo wasiku nyingi mkumbushie. ...labda kajisahau.
Muhimu ni kuwakumbusha wote wajue umechoka kusubiri.
 
Hilo swala lako gumu sana. We ndo unawajua wote. Ubaya na uzuri wao unaujua wewe. Sasa hapa unataka watu wakupigirle ramli au?
 
Wanawake wengi mnatutesa kwasababu kwenu ndoa ni objective hivyo mtafanya kila kitu ili muweze ku meet hiyo objective. Irrespective nani anakuuoa nyinyi ni twende kazi so long as ndoa ipo. Shida inaanza pale baada ya kuolewa unaanza kuona ulifanya makosa au unapata mawazo mapya, kwa kweli mnatusumbua. Ndoa inakua si ndoa, shida kila kukicha. Nakusikitikia kwa kweli manake unaelekea kwenda kufanya maamuzi mabaya kama vile nakuona.
 
Unawapenda wote? Kama ndio, kuna aliyemzidi mwenzake. ....
Huyo wasiku nyingi mkumbushie. ...labda kajisahau.
Muhimu ni kuwakumbusha wote wajue umechoka kusubiri.
I just like you umeongea imenigusaa
 
Fanya tathmini ya kutosha uangalie mbivu na mbovu...Huwezi ukatumikia mabwana wawili kamwe
 
Back
Top Bottom