Recent content by shafonawi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Modern Coast

    Yanafika hadi kampala
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mmezaliwa na genes za kuomba hela?

    Wanaume wenyewe sku izi ni zaidi ya matonya. Wanaomba hatariiii! Ooh baby kuna mishe nafatilia ntoe laki2 ntarudisha .....mweee! Kila wk story ya mizinga...hhahaahaa huku kapanga wanawake foleni ili aishi kwa mizinga huku na huku.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa siamini kama unaweza pata mwenza JF

    Asante moyooo..hahaaa
  4. S

    JamiiForums Tanzania CCM Tusifanye Makosa Tunatakiwa kuwa na Naibu Spika Msomi Hakuna Namna!

    Hamy-d fyuuu....lemutuz fyuuu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nenda mpenzi wangu

    Pole kaka
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sukuma twende ya Makonda ni biashara au uwajibikaji?

    Hahaaa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Fenela njia nyeupe bungeni

    Mbavu zangu mwee maana mnyika alisemwa hafai sasa imekuwaje tena hahaaa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tabora: Kampeni za Chama cha Mapinduzi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Odili mbona text haieleweki au ndio haraka ya kuandika ndugu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Usiache Power Bank ndani ya gari lako

    Amen kashishi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Usiache Power Bank ndani ya gari lako

    Utakuwa hujaelewa wewe kashishi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Usiache Power Bank ndani ya gari lako

    Taarifa Yako Haieleweki, Mwanzo Unasema Begi Lake La Laptop Alikuwa Nalo Kwenye Kikao, Mwisho Unasema Kwenye Begi La Laptop Kulikuwa Na Power Bank
  12. S

    JamiiForums Tanzania Pigo jingine kwa Team Lowassa: Christopher Ole Sendeka akana kuhama CCM

    Hahaaaa chezea CHADEMA wee! Sisiem walee..waleee..wanatetemekaaa...wanatetemekaaa..
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rostam naye sasa rasmi CHADEMA

    Go! Go! Go UKAWA. Mungu awe nanyi daima.
Back
Top Bottom