Nilikuwa siamini kama unaweza pata mwenza JF

unatafuta business partner au mke? shughuli ya kumuingizia kipato inahusikaje kama unataka mke? tafuta mwanamke mwenye upendo, heshima na hekima na maarifa ya kukusaidia mawazo hata kwa kipato ulichonacho anaweza kukiinua kwa mawazo, unaweza ukapata mwenye kipato hana discipline katika matumizi utajuta
 
Hapo kwenye dini ndio utata, lakini ilibaki kidoogo tu upate mke. Maana hapa mtaani kwetu kuna wadada wakipemba wengi tu wamekuja juzi. Mimi ndio pimp wao.
 
Nimemwambia awe makini, only that.. Pia nishashuhudia rafk yang na uhusiano wa mtu wa mtandaon miaka miwil na kilichomtokea ni historia,, cjasema haiwezekan, ila awe makini..nadhan amenielewa

mkuu unachosema ni kweli

ila sasa hebu tuwe tu wakweli mi naona hamna tofauti yakufanya mawasiliano na mtu mkaonanana mkachunguzana mambo yakaendelea,

maana hata unapokutana na mtu kanisani anaserebuka kwaya na hujawahi kuongea naye hujui hata anakotoka na bado ukaomba mazungumzo au mawasiliano ni sawa tu na ungeona picha yake, video yake akiimba ukavutiwa then ukaomba mawasiliano.

mazungumzo ni yaleyale tu, maana watu wamefajamiana kutoka kindaateni hadi chuo kikuu na bado wamefanyiana mabaya na madudu kama bandari ya dar,

zaman mtu unaunganishwa na mtu mnakutana tu mnaandikiana barua mambo yanaenda hadi ndoa.

watu wabaya, wazuri walioko mtaani ndo hao hao walioko humu na kwingine waweza kuta anayefaa sana ama asiyefaa vilevile tu.
 
Hivi upo lakini? Nilikumiss
 
Wazaman sio wa leo,, utaula wa chuya akyanan,, wazaman walikuwa wanaolewa mabikira sasa hiv je,, so don't compare old days na wakat huu coz ni tofaut kabisa,, naongea kwa evidence na kwa mfano wang mwenyewe teh teh😂,, sikatai bahat zipo but si kila mtu anabahatisha,,,
 
Slim5 nipo, graxana wewe umepata bahati mbaya kama watu wengine wanaojuana wamedanganywa pia, wanaojuana wanapata wapenzi wa kweli wengine mabomu ya machozi vilevile humu wapo watu wanaojitambua wapo matapeli pia kama walivyomitaani
 
Last edited by a moderator:

Yes, that is my point,, so ni bahat tu
 
Last edited by a moderator:
Wandugu wapendwa nilikuwa siamini kama mtu anaweza kupata mke JF, lakin Jana nimeamini baada ya rafki yangu kufunga ndoa na mdada waliokutana jukwaa hili la JF.

Hii imenipa hamasa sana maana sikutegemea kbsa kama ingewezekana.

NAMIMI KWA UJASIRI MKUBWA natangaza natafuta MKE.

Mke ni mtakae awe na sifa zifuatazo
1* mwenye umri kuanzia miaka27-33
2*mkristo
3*elimu angalau sec.
4*mrefu kiasi
5*kabila lolote
6*mwenye shughuli halali ya kumingizia kipato
7*mwenye nia ya dhati kuingia kwenye ndoa
8*muwazi na mkweli

Mimi sifa zangu hizi hapa.
1* umri wangu miaka35
2*mkristo
3*elimu yangu degree
4*mrefu
5*muajiliwa WA serikali
6*kabila mnyamwezi
7*muwazi na mkweli

Yeyote aliye serious ani pm tuwasiliane zaidi.
Mizaha na kejeli sizihitaji kama huna uhitaji naomba upite kwa amani.
Nawakilisha.

Mm mwenyewe bado nabembeleza hapa, ila soon nitakuwa Kama rafikiyo.. Semeni Amina.
 
JF ina binadamu wa kawaida km waliopo huko mitaani, so don't get worried guys just tafuta mwenza Popote pale utampata#
 
Nimemwambia awe makini, only that.. Pia nishashuhudia rafk yang na uhusiano wa mtu wa mtandaon miaka miwil na kilichomtokea ni historia,, cjasema haiwezekan, ila awe makini..nadhan amenielewa

Mkuu unaweza pata mke kanisani lkn akawa member wa jf bila ww kujua. So kigezo cha.kuwa mtandaoni huwezi pata mke napingana kabisa. Mwingine unamkuta eneo zuri lkn atakacho kufanyia utakaa chini ulie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom