Recent content by shafii83

  1. S

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ni mbunge yupi atamrithi Kafulila kwa kufichua ufisadi Serikalini?

    hapa tunapigishana makelele yaan tunachochea majivu wakati moto ushazimika
  2. S

    JamiiForums Tanzania Special thread: Ujinga ni?

    ujinga ni kushabikia kitu bila point za msingi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wadhifa mpya wa mheshimiwa Edward N. Lowassa

    teh teh eti JIPE MOYO ni kwer mkuu mpeni sifa zoooote lakin ikulu imepata mpangaji iko fulu nakuusu umaarufu aliupata tangu kitambo tu usimshushe mzee wa watu ila kwasasa KAZI TUU
  4. S

    JamiiForums Tanzania Awamu ya tano: Shauri nini kifanyike katika kuboresha Elimu

    mijitu mingine inasema eti nagufuli sio raisi wao........it doesnt make any sence yule ni raisi wa Tanzania kama humtaki HAMA nenda nchi yenye raisi unaemtaka.... HAPA KAZI TUU
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tigo leo mmeniharibia sana

    duuh ndo raha na umuim wa DUAL PHONES wakitaka wasirekebishe tuu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa alivyoitetemesha CCM

    ni kweri tunamsifu na kumuita loasa ndie raisi wetu lakin ukwer uta retain kua magufuri ndio raisi wa TZ kwa sasa tuachane na mambo ya siasa tukakomae na shughuri za maendeleo....tukumbuke kama tunaitaji mabadiliko ya kweli tukakmae na KAZI ndio msingi wa maendeleo na sio siasa wala raisi
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    uo upendeleo ni upi labda wale wapo kipesa zaidi ushabiki mnauleta nyny
  8. S

    JamiiForums Tanzania Dr Magufuli Baada ya kuapishwa naomba uanze HESLB

    we unae lalamika mfuko wa cement ulizia MTWARA MFUKO bei gan alafu waulize ni kwa nn
  9. S

    JamiiForums Tanzania Dr Magufuli Baada ya kuapishwa naomba uanze HESLB

    inamana hiyo mikopo ikitoka ccm au tunamezeshana mabov tuu
  10. S

    JamiiForums Tanzania VOA's Shaka Ssali on Tanzania election

    big issue
  11. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli amkata Lowassa

    ilo swali tu linaonesha jamaa team ile ile ilopigwa chini
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kama hii ni kweli, then Serikali yetu ni dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake!

    tunashukuru wananchi wameonyesha mwitikio wa ushindi ea magufuri wewe kama umpendi magufuri HAMA walompenda wamempa madaraka tayari
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kama hii ni kweli, then Serikali yetu ni dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake!

    kwa kura alizopata magufuri sithubutu kuropoka eti ccm wezi inamana apate kura 10000 alafu aandikiwe 43000 ata kamakuna wizi lakini apa uwez kuiba kiivo nadhan mwenye akili timamu atanielewa vizuri....funzo DON'T THINK WHAT U THINK IS WHAT OTHERS DO....Ndicho tunapokosana hapo mtu kwakua...
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kama hii ni kweli, then Serikali yetu ni dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake!

    angekubalika na wananchi si tungeona majimboni angepata kura za kutosha ivi jaman kwa lile gape alilopigwa loaswa kwa mtu mwenye akili as great thinker unaweza kuisini kweli CCM imechota au tunafosi ushindani?
  15. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmezubaa, hamjajiandaa kushinda

    magufuli ndo bas anaenda ikulu
Back
Top Bottom