NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,275
CHADEMA walikua hawajajipanga kushinda toka walipomuweka mtu mwenye tuhuma za ufisadi kugombea.
Walikua na chance kubwa sana kama wangemsimamisha mtu kama Slaa, watu wangechagua mabadiliko kweli, ila bwana EL hakuna cha mabadiliko pale, katoka CCM na uchafu wake leo hii aende CDM achukue? Watakumbuka sana maneno ya Dr.Slaa