Pole sana, Kuna watu humu wanasema wakoloni walitujengea Ikulu, miundombinu. Je? Vitu hivi walijenga na rasilimami kutoka wapi? Sio mali zetu humuhumu.
Hivi ww ni darsa la ngapi? Kwenye mwezi hakuna oxygen na gravitation force ni 1 ya 8 ya hapa duniani ila upepo upo kama kawaida. Humu jf kuna vihiyo wengi.
Wanaopinga na wanaotengeneza hizo documentery za uongo ni waumini wa dini fulani wanaueshimu mwezi. Mwezi hauko mbali kiivyo washindwe kufika. Ndiomaana mko nyuma kwa mambo mengi think think. Unashindwa kuami kile ambacho unaweza kukihoji ukapewa majibu lakini unaamini ambacho ni hadithi zisizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.