Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,330
- 17,857
😱😱🙁🙁
Nini mbaya?
Nimeleft......
😱😱🙁🙁
Nini mbaya?
Element simvishi huyo ni dereva mzuri
Hahahaha... Itakula kwenu.. mvishe ata kapelo ka vipi..
Wewe nae jamani!Hebu niache mtoto wa mwenzio
Bora usimuelewe, maana kitakachofata ni.... :frusty:
Jamani mtoto wa mwenzangu kwani mi nimekufanyaje?? Au unataka..........
Icho ni kichagga
Haya mchana mwema wewe unanichanganya tu
Unakuta mtu msomi helmet anaita 'element'
Kiki maieeeee kichaga cha wapi hicho?
Kumbe umeelewa njoo
Bado sijaelewa
Hutakaa uelewe naonaa....lol