Recent content by shabiki

  1. shabiki

    🚨ONYO: Ukinunua gari used kabadilishe Jina

    Nna jamaa yangu hapa mpaka leo anaburuzwa na kesi dodoma,gari inaozea polisi dodoma. Dalali alimconnect na muuzaji jamaa kalipa. Sasa dalali hakukabidhi hela yote wa muuzaji, umiliki wa gari haujabadilishwa walitumwa polisi kutoka dodoma kuja kuichukua. Sasa mwana anakomaa kila baada ya muda...
  2. shabiki

    Ushauri nifanye biashara gani kwa mtaji wa Milioni 3?

    Kama uko eneo ambalo una jina, Kodi chumba 300,000 -600,000 miezi sita Nunua desktop ya 250k nunua mamovie mengi anaza kukodisha na kuuza, 2. Nenda mwenge au kariakoo nunua viatu vile vya ngozi kwa 4000 Jaza kwenye frem yako uza 3. Nenda karume alfajiri wakifungua mabaloo yao, chagua raba...
  3. shabiki

    Nina sh. 25,000, nahitaji ushauri wa biashara ya kufanya

    Nunua ungo au sinia Kisha nunua kwa jumla Mfuko wa pipi ivory 2000 Mfuko wa big bom 8500 Mfuko wa big G 1500 Mfuko wa jojo 1500 Peremende 1500 Weka na sigara Tega maeneo ya watu wengi kama vituo vya daladala
  4. shabiki

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Iseee, wanawake kazi wanayo mwaka huu, Huku inatoka orodha ya mapunga Huku inatoka orodha ya waliojiunga Nofap Kwa kweli kwenye hiyo noFap na mimi niandikeni. Tuone sasa
  5. shabiki

    Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

    1. Chai bora kilele cha ubora, ni chaguo la watanzania…. 2. Mzee nimepaka rangi nyumba, naomba univumilie mpaka hii rangi itakapochujuka, 3. Amani ni sabuni safi amani ni sabuni bora! 4. Coral paints ya kisasa. Rangi ya kujivunia….(kwanza tupambe na kisha tusherekee….) 5. Kah we ni mdhembe…...
  6. shabiki

    Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi chukueni hatua za kisheria dhidi ya Diamond & Zuchu

    “Mwacheni baali na ajitetee mwenyewe”
  7. shabiki

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Mzungu kutoka marekani? Amefanya nini?
  8. shabiki

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    https://youtu.be/FhWcypM_8A4
  9. shabiki

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    https://youtu.be/FhWcypM_8A4
  10. shabiki

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Big shaq - man’s not hot https://youtu.be/3M_5oYU-IsU
  11. shabiki

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ndaya https://youtu.be/2bnCqxAYf1s
  12. shabiki

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nini mnataka mAzee https://youtu.be/rJ_K6E8VBqk Nisikilize me https://youtu.be/KLRutWYnaKo Mtoto wa mjini https://youtu.be/XtyyOuj_NSE
  13. shabiki

    Kama kweli huu ni ushauri wa Abdi Banda kwa Orlando Pirates, basi akapimwe akili

    Huyu ndio Wa kuambiwa,”never side with the enemy in family business!” Na agongwe risasi ya kichwa!
Back
Top Bottom