Habari kaka na ndugu zangu,
Nimekuja na swali kwenu wanajukwaa nataka kujua kuhusu pete ya uchumba. Sasa nimeingia kwenye penzi la kweli na tunahitaji kuvishana pete ya uchumba. Binafsi mimi ni mgeni sana kwenye suala la pete, sijui hata naanzia wapi, mpaka najiuliza, kwani pete yenyewe...