Kwanini tamthilia za nje haziangaliwi maudhui?

Shabdullah

Member
Feb 17, 2020
65
52
Habari wana JF,

Nimekua nikishangazwa kwa nchi yetu ya Tanzania kuangalia maudhui ya saana ya Kitanzania kwa lengo la kulinda maadili ya taifa hata heshima ya ndani na nje ya Tanzania.

Lakini kinachoshangaza tamthilia kama ya Money Heist inauzwa Tanzania na ni halali kuangalia. Huo ni mfano mmoja tu wa tamthilia lakini kuna movie na nyimbo nyingi na ughaibuni ambazo zinaonyesha hadharani matendo yasiofaa kama matusi, ngono za jinsia moja n.k

Swali ambalo ninajiuliza ni je maadili ya tanzania hayawezi kuharibiwa na sanaa za nje.

Je, wahusika wa haya hawapo?

Je, wahusika hawayaoni?

Je, serikali ya Tanzania haiwezi kudhibiti hizi filamu za nje ambazo ziko nje ya maadili ya sanaa ya Kitanzania?
 
Tamthiliya za nje zinazoonywesha na vituo vya tv ambazo zina maudhui ya ngono mara nyingi zinaanzwa kuonywesha saa nne usiku lakini hizi za mitaani ni ngumu kudhibiti kwa sababu nyingine wanadownload kwenye computer.
Zamqni kulikuwa na filamu Tanzania ambaonkazi yao ilikuwa ni kuangalia maudhui ya filamu zote kabla ya kuanza kuonywesha kwenye majumba ya sinema na hata zile x zilikuwa ninkwa ajili ya watu wazima
 
Back
Top Bottom