Recent content by shaa.sj

  1. shaa.sj

    Single mums and dads come this way

    edison halaf elewa nilichoandika .nimesema mimi ninaemuamini ni babaangu..sijazungumzia na maono ya wengine..na busara sina kweli maana nimelelewa na babaangu kuanzia nikiwa na mwaka 1.kwahyo kila tabia niliyonayo na matendo ni kutoka kwa baba.labda ningelelewa na mama ningekua na busara.
  2. shaa.sj

    Single mums and dads come this way

    Huyo baba anaesex na mwanae atakuwa taahira kama sio mganga wakienyeji
  3. shaa.sj

    Ni lini rais Kikwete alizindua na kumeza Vidonge vya Mabusha?

    Hahahahahah si mchezo..mi najiuliza kwan busha si wanapata wanaume tu au na wanawake ..na ugonjwa wa busha unajulikana uko vipi sasa huyo mbu nae anaeleta mabusha atakua basha maana anafata nini huko asing'ate sehem zote mpaka aje huyo sirini ...
  4. shaa.sj

    Single mums and dads come this way

    Yani mi mwanaume ninaemuamini ni babaangu mzazi tu ndo najua hawezi kuniongopea..lakin waliobaki wote viazi kama si mihogo
  5. shaa.sj

    Single mums and dads come this way

    Mi ninamfano wa ndugu yangu alikua na boyfriend .yule mwanaume alikuja na mbwembwe na kujitambulisha kwetu tukamfaham ..mwisho wa siku tukaja kugundua kumbe ana mke na wakat huo tayar ndugu yangu ni mjamzito..ndugu yangu alikua na biashara zake kumbe yeye na mkewe lao moja nia na madhumuni...
  6. shaa.sj

    Kitaaluma mimi ni mwanasheria

    Your patient is expired. ..
  7. shaa.sj

    Hili la kuporwa watu waliotoka kwenye Fiesta limekaaje?

    Watoto wanatekwa kila siku na bado hawatangazi wanakanusha watatangaza fiesta ..
  8. shaa.sj

    Mauaji ya mtuhumiwa mkuu wa kesi ya mabomu Arusha inatia utata sana

    Hizo ni propaganda zao tu.unaweza ukaambiwa mtu alikua anajaribu kutoroka na anapingu za miguu na mikono anatoroka vp?? Mi naona wangewatafutia sehem ya kufanyia mazoez na kufyatulia risasi zao sio katika miili ya watu
  9. shaa.sj

    Single mums and dads come this way

    Mi najivunia sana kulea Watoto wangu bila hao matapeli wa mapenzi ..
  10. shaa.sj

    Single mums and dads come this way

    Wabongo wanavyojua kukataa mimba .halaf baadae mtoto akikua anajileta anataka mtoto minakutoa mbio na sururu
  11. shaa.sj

    Diamond hawa ndio wabongo, chukua ushauri wangu

    Hata d banj alipiga show kwao akazomewa kisa p squire. .kwahyo si lakushangaza kuzomewa ni moja ya changamoto katika mziki..hata kina chege na temba walivyotengana na juma nature ..walikua wakipanda jukwaani wanazomewa juma nature anashangiliwa..haya sasa hivi yuko wapi
  12. shaa.sj

    Fiesta DSM yamaliza ubishi wa nani mkali Ally Kiba na Diamond.

    Hata juma nature akipanda jukwaani bado atashangiliwa mpaka leo japokua kaishiwa nyimbo..ila tatizo wabongo maendeleo hatupendi..mtoto wawatu anajitahidi sana..na ukiangalia asilimia kubwa ya walioenda fiesta wauswazi wamezichanga weee mwezi mzima..waelewa waliishia kuangalia kwenye tv..watu...
  13. shaa.sj

    Mwisho wa Diamond umekaribia, ilikuwa lazima aanguke

    Dah watu wanaongea tu ila hawajui ni namna gani mtu anaumia anapojua alikataliwa na mzazi wake..mimi mwenyew nimepata tatizo kama hilo nimelelewa na babaangu mpaka nimekua na akili zangu timamu mpaka leo hii .na wala hakuoa wala kutafuta mwanamke kuhofia mwanae nisije pata mateso..wakati huo bi...
Back
Top Bottom