Recent content by seyayi

  1. seyayi

    JamiiForums Tanzania Tuna miaka miwili na Mwanaume wangu ila hana anachonipa

    Karne hii huna hela huwezi kumtawala mwanamke huo ndio ukweli
  2. seyayi

    JamiiForums Tanzania Tueleweshane kuhusu uhamisho ESS

    Andika barua ya uhamisho panda nayo mtumba Tamisemi huko mbona wanapokea! Mfumo unazingua mno
  3. seyayi

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo 11 ambayo huyajui kuhusu samaki

    Kwahiyo sisi tunaokula kambale tunakula chura [emoji3]
  4. seyayi

    JamiiForums Tanzania Naombe tafsiri ya hiyo ndoto. nitafanyaje?

    Ni pm nikupe mbinu Kama wewe ni mkatoliki hutajuta.
  5. seyayi

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasibadilishe hili Jina la uwanja wa ndege Ngerengere

    Johnwalden airbase
  6. seyayi

    JamiiForums Tanzania UDSM acheni kuharibia vijana future zao

    Kule political science hizo marks tulizoea tena mbona nyingi[emoji41]
  7. seyayi

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara ya vitanda vya chuma

    Kitanda Cha chuma kizuri sio hayo ma square pipe ya madirisha wanayotumia. Kitanda kizuri ni chuma round nenda maduka ya ujenzi kanunue mwenyewe na chuma za pembeni ni pana Kama vile vitanda vya zamani vya Jeshi,vinafungwa kwa nati. Nilibahatika aisee sijawahi kulaumu
  8. seyayi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Dodoma: Shughuli ya Kitaifa ya kumuaga Hayati John Magufuli

    Siku ukipata macho jua litakuwa limezama. Dunia hii hayupo rafiki wa kweli,jali nyumba yako.
  9. seyayi

    JamiiForums Tanzania Jua linalotumulika ni dogo kama mchanga

    Mtakufa,watakuja watakufa,mbwembwe nyingi ufalme wa Mungu hauchunguziki.
  10. seyayi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    Kuzaa nje ya agano la Mungu ni dhambi.(umezini)
  11. seyayi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba kalogwa na Mama wa Kambo, nifanye nini?

    Yesu anaponya
  12. seyayi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania should be kicked out of EAC

    Dawa inaingia tulieni
  13. seyayi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

    Hakuna uchawi wa kutoa uchawi,ila kuna Damu ya YESU pekee ya kutoa hayo kwingine utatuliza tu na kupoteza pesa zako trust me!
  14. seyayi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Public Civil Servants Regulations 2003

    Naomba mwenye soft copy ya Public Civil Servants regulations anitumie nitashukuru
Back
Top Bottom