Jua linalotumulika ni dogo kama mchanga

Jua linalotumulika ni dogo kama mchanga

Toa fact sio kejeli tokea mwanzo una point

Ni kama vile hatuelewani..nikiongea point unanijibu madudu nisiyoelewa...em angalia kama haya majibu[emoji116][emoji116]

Zile unazo ziona usiku unazisemaje kabla ya kuzoom.kumbuka hata jina la mkeo unaweza kukipa chochote kilichopo angani.
Kinacho weza kuwa mwangaza unaweza kukuita nyota mfano jua na ili kuweza kumueleza mtu hizo ni sehemu kama ya sayari kwa vile zipo na tabia tofauti



Umelewa vzuri .umbali ulipo sio ukaribu uliopo na dunia

Hata hii statement "Nilipokuwa jangiri alivuka bwawa kwa kuogopa kugongwa ndizi iliyoiva ikipikiwa mgonjwa ametapika sana"
inaeleweka kuliko majibu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jua ni kubwa kuliko sayari zote kwenye sokar system. Lakini je kwenye Milkway Galaxy kuna solar system ngapi??? Pia je kuna galaxy ngapi katika Universe??? There is millions of Galaxy in this universe.
Je katika hizo solar system na na Galaxy je ni dunia tu iliyokusanya viumbe hai pekee jibu No. Kuna uwezekano 1150% kua na viumbe wengine waishio..Creator hawezi tengeneza those millions of Solar system n Planets for nothing.
Hapo ndio utaona sala ya "Mwana kondoo uondoae dhambi za ulimwengu/Universe utuhurumie" ina make sense
Kwenye hii milkyway kuna Solar system moja[emoji5]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi mnajua ya kwamba ukichukua ndoo ya maji ukimwagia juani jua halitazima
 
Ulimwengu wa anga ni mkubwa sana,mpaka sio maajabu ni miujiza iliyopo huko angani hata ukisimuliwa unaweza kuona kipo nje na uwezo wako.

Kila binadamu hana tambua jua ni kubwa kuliko sayari zote zinazozunga huku tukitambua jua ni nyota inayotuwakilisha na sayari zetu.

View attachment 1644641

Uvumbuzi wa kutafuta kilicho nje ya anga kunazidi kupata nyota nyengine ambazo upelekea kulinganisha nyota fulani na fulani kwa ukubwa mfano sayari kwa sayari,jua kwa jua.

Rekodi iliyokuwa ina fahamika kuwa nyota kubwa ilikuwa UY scuti.

View attachment 1644642

Utafiti mwengine umekuja kutambua kuna nyota kubwa kwa jina stephenson 2-18 ambayo imeipita sayari ya UY scuti .
View attachment 1644644

Stephenson 2-18
Sayari hii inajulikana kama stephenson 2 DF1 au RSGC2-18.

Ukubwa wa eneo lake sawa tuzidishe 2150 x kwa jua letu kupata ukubwa wake (1.495 billion 928 millioni mi) ambapo jua letu Ukubwa wa eneo: 6.09×(10x12 )km2; 12,000 × Dunia.
Dunia ukubwa wake sio mgeni ukitafuta.
[emoji23] jamani tukiweka sifuri zitakuwa nyingi hapo !

Umbali wa stephenson kufikia unachukua kufika kutoka tulipo kwenye jua mpaka hapo sawa na 19560 light years
Mambo ya anga kupima umbali ufikia idadi ya sifuri kuwa nyingi ndipo ubadilishwa kuwa mfano wa spidi ya mwanga kwa mwakaView attachment 1644649
Hesabu hiyo.

Mwangaza wake unakadiliwa kuwa na kipimo cha jua ziwe 440,000 x mwanga .yani tukusanye jua kama letu liwe hiyo idadi tuzidishe mwanga
Mwanga wa jua kiwango chake ni 3.83×(10x26)Watts.

Majua yawe(440,000) x mwanga 3.83x(10x26)watts.
Kwa mwanga huo hata sayari ya pluto tunayo sema hipo mwisho ingekuwa na kiwango cha joto kama jua.
Joto lilopo linakadiliwa kwa umbali sio kufika degree 2900c

Wanazengo tujadili
Binadamu tuna mengi ya ujifunza na tuna mengi ambayo hatuyajui. Chini ya bahari tu hapa hapa duniani ni 30% iliyokuwa mapped sehemu nyingine haziajawa mapped. Yani ni ngumu kuchunguza bahari kuliko anga
 
Jua ni kubwa kuliko sayari zote kwenye sokar system. Lakini je kwenye Milkway Galaxy kuna solar system ngapi??? Pia je kuna galaxy ngapi katika Universe??? There is millions of Galaxy in this universe.
Je katika hizo solar system na na Galaxy je ni dunia tu iliyokusanya viumbe hai pekee jibu No. Kuna uwezekano 1150% kua na viumbe wengine waishio..Creator hawezi tengeneza those millions of Solar system n Planets for nothing.
Hapo ndio utaona sala ya "Mwana kondoo uondoae dhambi za ulimwengu/Universe utuhurumie" ina make sense
Unachanganya madesa
 
Ni kama vile hatuelewani..nikiongea point unanijibu madudu nisiyoelewa...em angalia kama haya majibu[emoji116][emoji116]







Hata hii statement "Nilipokuwa jangiri alivuka bwawa kwa kuogopa kugongwa ndizi iliyoiva ikipikiwa mgonjwa ametapika sana"
inaeleweka kuliko majibu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa anaongea akiwa huko Alpha-Centauri
 
Hapa umemtesa sana aisee! Mwambie simply:
Surface temperature ~ 6000 degrees C
Internal ~ 14,000,000
ameweka ka equation 'boltzman' ambako data zote zipo hata mtoto wa form1 anaejua substitution anatembea.


Yeye amesema hilo 'li nyota' likubwa ambalo kwa umbali wa pluto kama lenyewe lingeireplace jua basi hata pluto ingekuwa na Joto la jua...Halafu hapohapo akamalizia kwa kusema hilo li nyota lina joto la 2900c .
Ndomana nkamwabia hiyo mbona ndogo haifikii hata joto la core ya dunia akanijibu na hilo li equation.


Mtu wa hivi unamuweka kundi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mugabe aliulizwa "Sisi wazungu tumefanikiwa kwenda mwezini nyie waafrika mtafanya maajabu gani?"

Akasema "Sisi tutaenda Juani"
wakashangaa"Sasa juani mtaendaje wakati kuna Joto kali?"
Mugabe:"Tutaenda Usiku"

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mugabe aliulizwa "Sisi wazungu tumefanikiwa kwenda mwezini nyie waafrika mtafanya maajabu gani?"

Akasema "Sisi tutaenda Juani"
wakashangaa"Sasa juani mtaendaje wakati kuna Joto kali?"
Mugabe:"Tutaenda Usiku"

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 Akili za mugabe
 
Kuna kazi sana kuelewesha watu.
Pole mkuu,
Unapokuja kwenye jukwaa huru kama hili ujiandae haswa.

Usikate tamaa...ingia chimbo uje na nondo kali zaidi za kutetea uzi wako.

Hao wanaokupinga ndio muhimu zaidi kwako kuliko wanaokushangilia.
 
Back
Top Bottom