Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,870
- 155,834
Mtumwa wewe na akili yako, mi nilidhani unataka uwanja upewe majina ya mashujaa wetu kama Mkwawa, etc kumbe unataka yaleyale ya Merchizedech
Majina uliyopendekeza ungeyafanyia jaribio kwa wakazi wa Ngerengere kama watayatamka kwa urahisi ndio ungeona hayana nafasi. Ila kwako unayeishi wa wenye majina hayo ni rahisi. Pili hakuna uhusiano wa hayo majina na Ngerengere, ni mkazi gani atapendekeza jina kama hilo, au ndio tusubiri wazungu watuletee majina ya mashujaa wao wakati tunao wetu?Mzuka Wanajamvi
Huu uwanja wetu wa ndege za kivita jina lake yani ukilitamka aibu una ona wewe. Yani Ngerengere imekaa kushoto sana. Walibadilishe tu ilete tija.
Kuna majina mazuri ukitamka yani inaleta ladha kinywani na mantiki kwa nini ya situmiwe? Kwa mfano tukibadilisha hili jina la Ngerengere tukaiita Adams Stone Airforce, Kirk Mcdonald Airforce, John Ossof Airbase, Anastasia nightangle Airbase, Chris Wallace Airbase, Wolfgang Fox Airforce, James Cummings airforce, Raphael Warnork military Airbase, Aaron Banks, Adamson Rodgers.
Yani ingependeza sana majina kama hayo juu huu uwanja wetu ungetumia.
Mnasema tunaenda na wakati hadi tiketi za basi sasa hivi inabidi tukate mtandaoni kwa nini hili la Ngerengere tusiende na wakati?
Jafo anahusikaje na jeshi? Ataungua asijaribuMzuka Wanajamvi

Wewe ni mtu wa ajabu sana. Kile kiwanja kipo Ngerengere halafu unatuambia kuwa hilo jina halifai. Nadhani kwanza ungebadilisha jina uliopewa na wazazi wako maana haliendani na wewe.Mzuka Wanajamvi
Huu uwanja wetu wa ndege za kivita jina lake yani ukilitamka aibu una ona wewe. Yani Ngerengere imekaa kushoto sana. Walibadilishe tu ilete tija.
Kuna majina mazuri ukitamka yani inaleta ladha kinywani na mantiki kwa nini ya situmiwe? Kwa mfano tukibadilisha hili jina la Ngerengere tukaiita Adams Stone Airforce, Kirk Mcdonald Airforce, John Ossof Airbase, Anastasia nightangle Airbase, Chris Wallace Airbase, Wolfgang Fox Airforce, James Cummings airforce, Raphael Warnork military Airbase, Aaron Banks, Adamson Rodgers.
Yani ingependeza sana majina kama hayo juu huu uwanja wetu ungetumia.
Mnasema tunaenda na wakati hadi tiketi za basi sasa hivi inabidi tukate mtandaoni kwa nini hili la Ngerengere tusiende na wakati?
Ngerengere jina zuri kabisa. Unataka tuiite majina kama St. Joseph au Sheikh Hussein Air Base?
Movie za kivita zimekuharibu kiongoziMzuka Wanajamvi
Huu uwanja wetu wa ndege za kivita jina lake yani ukilitamka aibu una ona wewe. Yani Ngerengere imekaa kushoto sana. Walibadilishe tu ilete tija.
Kuna majina mazuri ukitamka yani inaleta ladha kinywani na mantiki kwa nini ya situmiwe? Kwa mfano tukibadilisha hili jina la Ngerengere tukaiita Adams Stone Airforce, Kirk Mcdonald Airforce, John Ossof Airbase, Anastasia nightangle Airbase, Chris Wallace Airbase, Wolfgang Fox Airforce, James Cummings airforce, Raphael Warnork military Airbase, Aaron Banks, Adamson Rodgers.
Yani ingependeza sana majina kama hayo juu huu uwanja wetu ungetumia.
Mnasema tunaenda na wakati hadi tiketi za basi sasa hivi inabidi tukate mtandaoni kwa nini hili la Ngerengere tusiende na wakati?
umeathiriwa na ukoloniYani mnataka kulilaani hilo ziwa kwa maksudi
Huyu jamaa ni rafiki yangu kule Facebook. Ni mtanzania lakini anakaa Ulaya kama sijakosea.
wazungu weusiMzuka Wanajamvi
Huu uwanja wetu wa ndege za kivita jina lake yani ukilitamka aibu una ona wewe. Yani Ngerengere imekaa kushoto sana. Walibadilishe tu ilete tija.
Kuna majina mazuri ukitamka yani yanaleta ladha kinywani na mantiki kwa nini ya situmiwe?
Kwa mfano tukibadilisha hili jina la Ngerengere tukaiita Adams Stone Airforce, Kirk Mcdonald Airforce, John Ossof, Jacobson Atkinson, Mitch Mconell, Davidson O'Connor Airbase, Anastasia nightangle Airbase, Chris Wallace Airbase, Wolfgang Fox Airforce, James Cummings airforce, Raphael Warnork military Airbase, Aaron Banks, Adamson Rodgers.
Yani ingependeza sana majina kama hayo juu huu uwanja wetu ungetumia.
Mnasema tunaenda na wakati hadi tiketi za basi sasa hivi inabidi tukate mtandaoni kwa nini hili la Ngerengere tusiende na wakati?
Facebook unatumia jina gani??Huyu jamaa ni rafiki yangu kule Facebook. Ni mtanzania lakini anakaa Ulaya kama sijakosea.