Nawapongeza sana mliopangwa MWECAU make mtakuwa mnashare ideas na wanafunzi wenzenu wa vyuo vya MOCU, KCMC,SIMMUCO, SINGACHINI,MWEKA, MSINGA Hv ni baadhi ya vyuo tu vinavyoizunguka MWECAU
Jimbo la Itilima Simiyu Kijana Njalu Daud Silanga (CCM) atakuwa wa kwanza kutangaza ushindi kwa mwaka huu anasubri kuapishwa tu wapinzani wanapinzana wenyewe
Hivi kama lowasa angekuwa na msafara wa watu200 tu na magufuli abaki na idadi Ile ya watu hv kweli polisi wangekataza maandamano? Ama kweli akili ya kuambiwa changanya na yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.