Safi sana kwa picha hii, naona umma ulipiga kura ya wazi kukubali msimamo wa chama. Niliona pia kwenye taarifa ya habari ya ITV watu wengi walivyokuwepo kuunga mkono. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
Mwanakijiji,
Hayo unayoyasema mbona tayari Kamati Kuu ya CHADEMA imeshaamua kwamba Kambi Rasmi ya Upinzani iyatekeleze mwaka huu wa 2013?
soma hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/390684-kamati-kuu-ya-chadema-katika-mkutano-maalum-kwa-siku-mbili-3.html
serayamajimbo
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika amebana Spika wa Bunge Anna Makinda na Waziri wa Viwanda na Biashara Dr Abdalah Kigoda kwa kukwepa kuchukua hatua juu ya madai ya ufisadi katika Kiwanda cha Nguo cha Urafiki.
SOMA
SPIKA ASILINDE UFISADI KIWANDA CHA URAFIKI NA WAZIRI KIGODA ASIKWEPE KUTOA...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imetakiwa kudhibiti nauli za daladala zinazofanya safari zake katika barabara ya Morogoro.
Inaelezwa kuwa daladala zinazokwenda Kata ya Kibamba zinatoza sh 650 na zile zinazokwenda Kiluvya zikitoza sh 900.
Mbunge wa Ubungo, John...
Kazi yake bungeni na jimboni inajieleza;https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/311117-taarifa-fupi-kuhusu-kazi-za-maendeleo-jimboni-ubungo-amua-10.html
Kazi zake zinajieleza bungeni na jimboni kwake: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/311117-taarifa-fupi-kuhusu-kazi-za-maendeleo-jimboni-ubungo-amua-10.html
Bavicha Mkoa wa Singida, wameibuka na kuwaunga mkono wenzao wa Mwanza kwa kusema kuwa watasimama nyuma ya Katibu Mkuu huyo hadi mwisho wa mapambano.
SIKU chache bada ya Baraza la Vijana wa Chadema Mkoa wa Mwanza kutamka kuwa hawako tayari kuunga mkono maandamano ya kumpinga Katibu Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.