Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 2,973
- 3,901
John Mnyika unazidi kumpa wakati mgumu Nnauye Jr. Usitarajie ajibu hoja hapo. Tayari umeshamkimbiza.
Nnauye ndo kashakimbia na hajajibu hoja kwa hoja. aibu yao.

chadema mara nyingi wamekua wakiongozwa na matamanio ya 2015,na hili limewafanya hata kukurupuka kutoa matamko,hivi chama kinacho shinda uchaguzi kazi yake nini zaidi ya kuongoza selikali? chadema wanataka tuamini kuwa hata halmashauri wanazo ongoza watumishi hawaguswi kabisa? kama wana mbana meya nae meya ana mbana mkurugenzi,mkurugenzi nae ana wabana wakuu wa idara,nao wakuu wa idara wana shuka chini na hatimae wananchi wanaona utekelezaji! kwa tamko lenu chadema mlishauriwa na mlevi!