Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

Utampigia nani kura ya Ubunge Ubungo 2015?

  • Total voters
    229
  • Poll closed .
Ha ha ha huyo dogo Nape hana ishu aendelee na kelele zake huku tembo wanaendelea kunywa maji.
 
nape ni jembe but not like myika ila sehem aliyo kaa inanuka uvundo,pia anover confidenc jamb amblo ni tatz,kwake!
 
huwezi kumfananisha nape na mnyika, Elimu, uwezo wa kisiasa, Nape ni zaidi mara 1000, labda NAPE VS SLAA hapo kidogo tunaweza kupiga kura.

Labda Ungesema wewe na nape nani bora naninadhani bora wewe kuliko nape kumfananisha na mnyika ni kifo na usingizi
 
Unashindanisha akili kubwa kwa akili Ndogo Nape hawezi kushindanishwa na Mnyika, Mnyika kamuacha mbali sana Nape.
 
Unashindanisha akili kubwa kwa akili Ndogo Nape hawezi kushindanishwa na Mnyika, Mnyika kamuacha mbali sana Nape.

Nape na Shonza ni vizuri wakaangalia haya matokeo ya kura wajue mwelekeo wa 2015.

serayamajimbo
 
Kijana mwenye akili timamu aliye ccm ni january makamba na malisa lakini wote waliobaki zecomed.wao wanakubali madhaifu ya chama chao na wanaeleza suluhu ni kufanyaje,kama lowassa anavyofanya sio hao taira nape na mwigulu kazi kushambuli chadema.
 
ni watu wawili tofauti kabisa na huwezi kuwalinganisha hata kidogo kama vipi mlinganishe nape na shonza juliana.
 
nape ni jembe but not like myika ila sehem aliyo kaa inanuka uvundo,pia anover confidenc jamb amblo ni tatz,kwake!

kwani wew ujembe au uchapa kazi wa mtu unaupimaje? kama nnauye ni jembe angejidhihirisha hata hapo alipo. mbona filikunjombe anaweza na yupo hukohuko aliko nape? kwa nini nape ashindwe!? mnyika ni zaid ya nape mkuu.
 
jamani kuna watu wa kufananisha, iv kwel unalinganisha kilaza nape na jembe mnyika? Achen kupoteza mda
 
Jf ina washabiki wa chadema wengi kwa hiyo hizi poll hazi reflect reality. Kama mnataka kura na matokeo halisi kapigeni kura jimboni ubungo
 
Kumlinganisha MNYIKA na nape, ni kudhalilishana sana. Yaani JJ Mnyika yuko juu zaidi. Hakuna saizi ya nape CDM, hakuna.
 
Jf ina washabiki wa chadema wengi kwa hiyo hizi poll hazi reflect reality. Kama mnataka kura na matokeo halisi kapigeni kura jimboni ubungo

MKuu siyo JF tu, kokote ambako utapita sasa hivi, habari ya mjini na vijijini ni CHADEMA, ccm wapi na wapi? Hata uwe na akili, ukiwa ccm unakuwa chizi tu. Ona akina Mwandosya walivyokwisha? Hakuna kitu zadi ya kudhalilishana tu.
 
Back
Top Bottom