Mnyika aendelea kutekeleza ahadi zake

Mnyika aendelea kutekeleza ahadi zake

Wee sio cdcf...ni cdf yaani constituency development fund...tatizo lenu CDM hamsomi mmekalia kupiga porojo tuu. Nyie hamtaki kujifunza mmekalia majungu tuu nendeni shule vijana
ndugu yangu hautwi cdf acha kuklemu, unaitwa Mfuko wa Kuchochea maendeleo ya Jimbo, au Constituency Development Catalyst Fund (CDCF). jifunze hiyo.
 
Kidumu chama cha mapinduzi.

Serikali ya CCM inapelekea wananchi maendeleo.

Mnyika hapo ni kama 'messenger'.

Akisema, anapewa pesa na serikali ya CCM.

Awe anakiri basi kama serikali ya CCM ni sikivu.

naona umeingia kibaluani kwa kasi, ila ni vizuri kwasababu bila hivyo mngetusumbua sana mitahani kuku zetu na bata zingepungua kila kukicha!
 
Ingekuwa kunakukodisha au kuazima wabunge, mie ningekuwa wa kwanza kuhakikisha tunampata Mnyika japo kwa muda mfupi......
Kama haiwezekani basi atoe somo kwa mbunge wangu wa Arumeru Magharibi...
 
Kidumu chama cha mapinduzi.

Serikali ya CCM inapelekea wananchi maendeleo.

Mnyika hapo ni kama 'messenger'.

Akisema, anapewa pesa na serikali ya CCM.

Awe anakiri basi kama serikali ya CCM ni sikivu.

we dada d acha ujinga ccm wamepata wapi hiyo pesa ccm hawana pesa bhana pesa ni yetu hiyo nyangau wewe
 
Hizo fedha zimetolewa na serikali mnyika amefanya kuwahi kuwahadaa wananchi ili kujitaftia umaarufu wa chee ie cheap popularity
issue sio fedha za nani, issue hapa ni namna ya mgawanyo wa miradi ulivyofanywa na usimamamizi wa fedha ambazo zinatokana na kodi ya wananchi. kuna wabunge wengi wanapelekewa fedha kama hizo majimbo, lakini badala yake zinakwenda kutumika ndivyo sivyo, kama vile kwenda kutengeneza vifaa vya uenezi vya cdm ili vitumike kuraghai wananchi.
 
kungekuwa na sheria inayoruhusu kubadilisha wabunge ningewaomba wanaubungo watupe JOHN MNYIKA halafu sisi tuwape JOHN KOMBA nadhani ingekuwa pouwa sana

Tuna mawazo yanayofanana....Jimbo letu ni majanga tangu enzi za mababu..... kila anayechaguliwa haleti unafuu ila anazidi kukatisha tamaa
 
Huu ndio uwazi unaotakiwa!mh.mnyika ni mbunge wa watanzania
 
kungekuwa na sheria inayoruhusu kubadilisha wabunge ningewaomba wanaubungo watupe JOHN MNYIKA halafu sisi tuwape JOHN KOMBA nadhani ingekuwa pouwa sana

Mnyika hhatoki Ubungo. Kuliko kutuletea Komba bora kusiwe na mbunge jimboni kwetu
 
ndugu yangu hautwi cdf acha kuklemu, unaitwa Mfuko wa Kuchochea maendeleo ya Jimbo, au Constituency Development Catalyst Fund (CDCF). jifunze hiyo.
Hili lijamaa linaloitwa Shelui ndio somi la ccm eti Linabisha kitu kilicho wazi
 
Last edited by a moderator:
Mie bado ninalia na mbunge wangu mh Mnyika juu ya suala la maji....suala la maji si la kupigia siasa wakati majibu yake yako wazi kabisa....kodi nyingi imeteketea katika ujenzi wa mabomba ya mchina.....bado wanaubungo tunalanguliwa kwa kununua maji kwa bei mara 12 ya bei halali.....tunaumia.....
 
suala la maji ni jambo ambalo ufumbuzi wake ni wa muda mfupi, wa kati na muda mrefu, ya muda mfupi yameshafanyika ya muda wa kati yanaendelea kama ya kurejea ha maji goba, na ya muda mrefu yanaendelea kufuatilia kama alivyotoa ahadi kikwete alipokuja ubungo na kusema kuwa atawahita ikulu kwa kujadili ishu ya maji dsm.
 
Hivi Kikwete ametekeleza hii ahadi ya kumwita Mnyika, DAWASA na DAWASCO Ikulu kuhusu maji?

serayamajimbo
 
mimi naamini..'mtenda dhambi na asiyeishi maisha yampendezayo mungu HUWA ANAHANGAIKA SANA PINDI ANAPOKATA ROHO'''
Nayashuhudia mahangaiko ya mnyika wakati huu anapokaribia kukata roho. ila mahangaiko ya mkata roho huwa hayazuii roho kutoka. tuna miezi michache ya kuihesabu na nawashauri tuombe uzima
 
Back
Top Bottom