Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

Hv kazi za mbunge ni kukutafutia ajira?kwanini usimuulize baba rizmoko hilo swali la ajira maana yeye ndiye atakuwa na jibu sahihi sio mbunge wetu bhana.

Rais Kikwete aliahidi ajira milioni moja kila mwaka, lazima tuwaondoe

...ndiyohiyo
 
mbona kila mara nyie watu wa magamba mnaacha kutekeleza ahadi alizo toa rais wenu jk mnakazania kumuandama mnyika, kwani mnyika kile kiti aliongwa nyie mbulula?mnyika alichaguliwa na watu wenye akili timamu sio nyie mnaopewa sh,elfu tano kwa siku tena njaa tupu inawatandika mnaleta nyuso zenu ndani jf na kuandika upuuzi
 
kila ninapokusikia bungeni, naamini kwamba Tanzania siyo kama inavyoonekana, kuna "vichwa" sema nafasi ya kutosha haijapatikana. Tuombe mungu moto mliouanzisha, utufikishe tunakotamani!

Mimi binafsi nakuombea makubwa zaidi ya Ubunge, ikiwezekana Uwaziri Mkuu, na hata "URAIS" maana bado 'unadai'

natamani ungekuwa mbunge wangu.

Mi ni Mwananchi wa Monduli

THEOPHILus,

Nakubaliana na wewe mkuu
 
Last edited by a moderator:
Bwana mnyika ulikuwa huna haja ya kupoteza muda wako na kuandika ripoti kwa maana maondeleo tunajionea sisi wenyewe kwa macho yetu , big up sana chapa kazi mbunge wetu
 
Natamani mnyika angekua mbunge wa njombe magharibi hapa kwa gerison rwenge.anae mkataa mnyika anaweza kumkataa mama yake
 
Sio kwamba na roho mbaya na wewe ila 2015 ukishinda na kunya barabarani kwangu sio ogopi kusema ukweli Kwa mbunge mwenye maneno mengi wakati wananchi hatuoni kitu wewe wasikilize wapambe wako wanaokupamba ukajisikia umefanya kazi nzuri.2015 utapata jibu mark my word your one term member of parliament.

halafu ukishkunya uyazoe maana watu wanaweza kanyaga.....
 
We jiandae kupigwa chini watu wa ubungo sio wana jf wengi wanaokupa pongezi ni watu wa hai hahaha kazi unayo
 
Natamani Mnyika ungekuwa mbunge wangu wa Magu badala ya huyu mbabaishaji gamba
 
ndg zangu sasa hivi mbunge hutakiwi kusubiri bajeti ya serikali kuleta maendeleo jimboni kwako kama una lengo la kurudi bungeni kwa mara nyingine na kwa sasa hakuna cha uchadema wala uccm cha msingi ni kushirikiana na wananchi wako na pia kutumia gharama yako mwenyewe katika kulete maendeleo.mfano mzuri ni kwa ndg deo filikunjombe ambae amejenga zahanati angalau kila kijiji na kutoa msaada wa vifaa vya hospitali katika hospitali za jimboni kwake na ule mshahara unaopata kutokana.na ubunge si za kwako bali ni za wananchi,inabidi uwa hudumie wananchi wako.MKAE MKIJUA KWAMBA SASA HIVI AKUNA CHA UCHADEMA WALA UCCM. NAWASILISHA.
 
huhuhu mkuu naona umekumbuka kununua vitz nyingine,,any way wananchi wa jimbo lako ndio wakaokuhukumu kulingana na nini umekifanya so far for 5 years
 
ndg zangu sasa hivi mbunge hutakiwi kusubiri bajeti ya serikali kuleta maendeleo jimboni kwako kama una lengo la kurudi bungeni kwa mara nyingine na kwa sasa hakuna cha uchadema wala uccm cha msingi ni kushirikiana na wananchi wako na pia kutumia gharama yako mwenyewe katika kulete maendeleo.mfano mzuri ni kwa ndg deo filikunjombe ambae amejenga zahanati angalau kila kijiji na kutoa msaada wa vifaa vya hospitali katika hospitali za jimboni kwake na ule mshahara unaopata kutokana.na ubunge si za kwako bali ni za wananchi,inabidi uwa hudumie wananchi wako.MKAE MKIJUA KWAMBA SASA HIVI AKUNA CHA UCHADEMA WALA UCCM. NAWASILISHA.

Hizi ndiyo tafsiri tenge zinazopotosha au kutokana na kutokuelewa wajibu wa mbunge na wajibu wa serikali.
 
Back
Top Bottom