Recent content by seraphinekomu

  1. S

    JamiiForums Tanzania CCM Arusha yakosa mgombea udiwani kata ya Sombetini

    Maccm si nini si kitu. Hawana lao.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Chadema wanapo amua kutumia nguvu nyingi kuiponda sisiem

    Jiulize ni chama kipi kinachotumia utashi katika maamuzi na si nguvu? Usikurupuke.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Chadema wanapo amua kutumia nguvu nyingi kuiponda sisiem

    Kati ya vyama vyote vya siasa, kile kinachotumia akili zaidi katika kujenga hoja ndicho chama bora.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa amaliza ziara Marekani

    Read between the lines. Kumfananisha na nyerere si amekufanyia nini, ila angalia kwa makini hoja zake zinafanana na zile za baba wa Taifa.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa amaliza ziara Marekani

    Namfananisha Dr Slaa na Nyerere. Watanzania tunapaswa kuona mbali na si hapahapa. Mtoa mada kasema Dr anashangaza kwa kile cha kutotaka misaada na badala yake skill. Tukienda hivi basi tutafika tutakako. Tuelimishwe tu jinsi ya kuvitumia tulivyonavyo. Hii ndo sauti ya Dr.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ana ubinadam

    Sijaelewa vizuri hapa. Rais amefanya nini? Kuna tetesi mpya?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wana-CHADEMA makini acheni mambo ya zidumu fikra za Katibu mkuu

    Sauti ya simba ndo humtoa nyoka pangoni. Twapaswa kuwa na sauti hii ili tufike tunakopataka 2015. Enyi kizazi cha leo, piganieni maslahi na uhuru wenu kabla jua halijaanguka.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nimeamini sasa, dada Saro kapigwa risasi, mama mkubwa kauwawa!

    Poleni sana sana wafiwa. R.I.P mama ufoo. Dada ufoo Mungu akutangulie upone mapema haya ni mapito tu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hamis Kigwangalla: Nashauri Rais asisaini muswada

    Kigwangala inawezekana amejirudi. Baada ya kuamua kwa sababu ulifuata mkumbo, sasa unaona uhalisia kwamba ulikosea. Hapa sioni kosa, kwa vile mwenyewe ametubu kwamba alifanya kosa kuunga hoja mkono. Hivyo hili swala halina budi kurudishwa mezani na jinsi ya kuipitisha inahitaji kutumia akili...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Boat accident at cisily

    An accident has occurred in Egypt where a boat is said to have sunk in the Mediterranean sea. Number of people (migrants) are said to have lost their lives. Source: BBC NEWS
  11. S

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

    Lakini pia unapoibua hoja, lazima utakuwa na sababu tosha za kusema hivo; "proof beyond doubt". Ingefaa sana endapo mtoa mada angekuwa na ushahidi wa kutosha juu ya alichosema. Na endapo amezusha tu, basi hayuko sahihi hata kidogo na kwa kosa hilo anastahili adhabu kali ili iwe fundisho...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

    Yes. I appreciate 100% Dr's speech. Is really scientific and rational. Moreover it is researchable. All he has said is true;both existing and that which is lacking.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Ndani Ya NASA. Aionya CCM Kwa Kuuwa Elimu na Ubunifu !

    Kilala kheri babaaa!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni lini tutanufaika na mali zetu sisi watanzania?

    Tanzania katika safu ya nchi tajiri Africa na hata duniani ipo. Ila iko katika kivuli kwa maana kwamba watu wake hawanufaiki kwa lolote. Nchi ya Tanzania imejaliwa mlima mrefu kuliko yote Africa, mbuga lukuki za wanyama, madini, maziwa na ardhi kubwa na ya kutosha. Watanzania leo hii...
  15. S

    JamiiForums Tanzania CCM Arusha kuwafukuza madiwani wake wanne leo

    Itabidi kutafiti kuona tatizo liko wapi.
Back
Top Bottom