Mwingine tumemuuguza majirani watoto wa kiume kila Mmoja alishika njia yake walipoona baba yao haponi. Mtoto wa kike alitoka kujifungua alipakaa sawa ndo kaja kumuuguza mzee wake akisaidiana na majirani, mgonjwa kafariki majuzi hapo hata miaka 65 hakufika nadhani na umasikini umechangia
Mi wanaume wanene siwapendi kwa kweli na vitambi vyao, Huwa wanaviharufu flani hivi, ukija kwenye jasho ndo usiseme mkiwa kwenye sex unalowa jasho lake na ukizubaa unalinywa kabisa💃💃💃
Pacha Raha kama hutaki kubeba mimba mara nyingi, ila nilisikia mwanamke akila sana magimbi huleta pacha, sisi bibi alizaa pacha nne ila watoto wake hamna hata Mmoja mwenye pacha, ila wajukuu ni Mmoja TU ndo kabahatika Hadi sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.