Recent content by senyagwa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kufanya siasa za upinzani Tanzania ni kupoteza muda fedha na kujishushia hadhi mfumo wote umeundwa kukibeba chama tawala

    Kwahiyo una ushauri gani? Maana kama umekata tamaa vile kiongozi.
  2. S

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

    Ubunge kocha wa wapi?? Kua siriaz au ndo chuki na husuda zimekujaa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Bei ya mashine ya kukamua alizeti. Wenye uzoefu na changamoto zake

    Sina uelewa wa aina za mashine kiongozi labda tuelimishane kuhusu aina unazozijua na CHANGAMOTO ZAKE km wafahamu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Bei ya mashine ya kukamua alizeti. Wenye uzoefu na changamoto zake

    Wadau tufahamishane kuhusu gharama za mashine mpya ya KUKAMUA ALIZETI . Na wenye UZOEFU mtuambie CHANGAMOTO ZAKE
  5. S

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa bei ya trekta kwa ajili ya kilimo

    Ok
  6. S

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa bei ya trekta kwa ajili ya kilimo

    WanaJf, Nina wazo la kununua trekta ila changamoto niliyonayo ni gharama kubwa na kiwango cha fedha nilichonacho ni 15 million. Tusaidiane wadau wapi nitapata hata kwa mkopo wa kutanguliza asilimia flani ya malipo kutimiza ndoto yangu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudumu na kuishi maisha ya furaha na mwenza wako

    Bado nasoma comments
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli??????

    Kuna mzee baba apa (muhenga) nimejadiliana nae kuhusu masuala ya kuoa na haswa kwenye uchaguzi wa mwanamke.Ameshauri Ni Bora ukaoa mwanamke mnene kwa sababu asilimia 80% ya mabinti wembaba hua hawaridhiki kwenye tendo la ndoa lakini pia wengi sio waaminifu kwa sababu uvumilivu wao ni mdogo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kunani msimbazi?

    Jamani mi nasikia Mo Dewji kagoma kutoa pesa za usajili kisa Ni kukosa hati ya timu ya Simba ambayo inashikiliwa na Mzee Kilomoni. Na hiyo ndo iliyopelekea michakato ya kuwasajili baadhi ya wachezaji kama Ajib,Tuyisenge,Kahata,Bwalya, Kambole,etc imebaki kua tetesi maana huku vyura wananipa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kiongozi mkubwa wa upinzani aliyenunuliwa na CCM ni James Mbatia?

    Namkumbuka Chinua Achebe na Chief Nanga wake
  11. S

    JamiiForums Tanzania Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

    Acha nirudi huko CHIMBAUNYE
  12. S

    JamiiForums Tanzania Cheik Tiote afariki Dunia akiwa mazoezini

    duh hizi habar si nzuri kwenye familia ya mpira
  13. S

    JamiiForums Tanzania Je, Tutsi ni moja ya makabila ya Tanzania?

    But hope nimekujib mkuu
Back
Top Bottom