Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
Hodi humu ndani mchana huu,
Najua humu kuna wajuzi wengi tu juu ya swali langu na hoja zinazilizunguka,
Katika nchi hii kuna kabila la "hutu" lililopewa uraia,
Na tunajua kabisa kwamba wahutu na watutsi ni makabila ya Burundi na Rwanda, sina hakika kama na congo pia;
Sasa hili kabila liitwalo "(wa)tutsi" tunalo nchi hii wengine ni walimu, wengine madaktari, wengine wana nyadhifa kubwa kulio hizo na hawaishi kama raia wa kuandikishwa, wanaishi kama wazawa!
Jambo hili linanipa maswali sana, lipo katika utaratibu gani?
Je katika orodha y makabika ya Tanzania na hili limo?
Na kama halimo, kwa nini wanaishi kama raia wasio wa kuandikishwa?
Walipataje nafasi za ajira?
Na je kabila hili ku shea na sisi katika mambo ya uongozi na utawala ni sawa? Ama hata kazi za kawaida za serikali ni sawasawa tu?
Wajuzi juu ya mambo haya ya uraia naombeni mnisaidie, ili nijue hili jambo linalonipa shida
Nawasilisha