Recent content by Sense

  1. S

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Wewe binti, tunaomba usiendelee kutuuzi... tunamachungu tumepoteza ndugu zetu... naomba urudi kwenu salama
  2. S

    Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

    Vipi JK anaendelea kwenye nafasi ya uwenyekiti?? coz nilisikia eti hawataki raisi awe mwenyekiti!!
  3. S

    Hodi wanajamii

    Karibu dogo!
  4. S

    Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    Download: www.eType1.com/e3.php?EeDZVm Dar es Salaam get ready... Mwalimu Christopher Mwakasenge atakuwa katika viwanja vya Biafra kuanzia tarehe 4 - 11 september. niwakati wakuwekwa mahuru... usikubali YESu akupita wakati huu.. Glory to God
  5. S

    Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

    Wee zomba acha upumbavu... utakua lini??
  6. S

    Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

    Leo Arusha yamefanyika maandamano kutoka hospitali ya mount meru mpaka viwanja vya NMC ambapo ndipo ibada ya kuwaanga mashujaa wawili waliokufa katika maandamano ya amani wiki iliyopita.... LEO MAELFU KWA MAELFU YA WANANCHI WAMEANDAMANA WENYEWE BILA KUWEPO KWA ASKARI YEYOTE BARABARANI HATA...
  7. S

    Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

    Mungu awapunzishe mahali pema peponi!
  8. S

    Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

    Test the upload.......... yaliyojiri arusha picha za matukio tofauti zitafuata muda mfupi ujao...
  9. S

    Toa Rambirambi yako hapa

    RPI brothers you will be always remembered...mashujaa wakweli as chakaza said damu yenu ndio mwanzo wa mabadiliko tanzania
  10. S

    Mchango kwa wahanga wa maafa maandamano ya arusha

    Ndugu Wananchi wote - TUNAMBA MICHANGO YENU YA HALI NA MALI KWA WAHANGA WA MAAFA KATIKA MAANDAMANO YA AMANI ARUSHA. TUMA MACHANGO WAKO KWA M-PESA: 0753444443 ZAP: 0688111161 TIGO PESA: 0659173663 AU FIKISHA MCHANGO WAKO OFISI YA MBUNGE ARUSHA MJINI TUNAWAOMBA WANANCHI KUCHANGIA KIASI...
  11. S

    Chadema yaijaribu serikali.

    Zawadi you may need big help!! lakini kama ni vile viti kadhaa vya huyo JK wenu bado vipo lakini itabidi akakague hiyo kitu kwanza kama inalipa i think thats what u need ili ufanikiwe otherwise inabidi uende mirembe mwenyewe..... MTU GANI HUNA AKILI KABISAA
  12. S

    Kikwete wa 10 barani Afrika

    Lazima kachakachua kama kawaida yake..
  13. S

    Naibu Meya Arusha Ajiuzulu

    Habari za kuaminika muda mchache uliopita aliyekuwa Naibu Meya Arusha AMEJIUZULU. More News to follow na tunasubiri "tetesi" Meya mwenyewe atoe kauli ingawaje yeye ni mbuzi wa kafara labda itachuku siku nyingine tatu mpka tano kutoa tamko.. Then I think RPC, IGP to follow before president.....
Back
Top Bottom