Mchango kwa wahanga wa maafa maandamano ya arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchango kwa wahanga wa maafa maandamano ya arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sense, Jan 10, 2011.

 1. S

  Sense Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndugu Wananchi wote - TUNAMBA MICHANGO YENU YA HALI NA MALI KWA WAHANGA WA MAAFA KATIKA MAANDAMANO YA AMANI ARUSHA. TUMA MACHANGO WAKO KWA

  M-PESA: 0753444443
  ZAP: 0688111161
  TIGO PESA: 0659173663

  AU FIKISHA MCHANGO WAKO OFISI YA MBUNGE ARUSHA MJINI

  TUNAWAOMBA WANANCHI KUCHANGIA KIASI CHOCHOTE KWANI KITASAIDIA KUFANIKISHA SHUGHULI HIZI ZA MAZISHI NA MATIBABU KWA MASHUJAA WALIOJERULIWA VIBAYA.

  MAWASILIANO:
  GODBLESS LEMA ((MP) 0764 150747
  JOHN BAYO (DIWANI) 0784 280262

  ASANTENI
   
Loading...