Recent content by Senorita23

  1. Senorita23

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa radiology

    Asante sana mkuu ubarikiwe
  2. Senorita23

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa radiology

    Naomba wataalamu wanisomee majibu eti ni nini hicho
  3. Senorita23

    JamiiForums Tanzania Nimerejea

    Ahsante mkuu account zangu zote huwa natumia password moja tu na ni very strong kwa hiyo hata nikikaa miaka mingi sana password inakuwepo.
  4. Senorita23

    JamiiForums Tanzania Nimerejea

    Wasalamu wapendwa wangu wa JamiiForums, Nimekosekana jukwaani kwa miaka kadhaa hii ni kutokana na mihangaiko ya maisha yaani maisha yalinipiga plus magonjwa kiasi cha kukosa smart phone. Kwa kipindi kirefu sikuweza kuingia JF ila namshukuru Mungu kuanzia sasa nitakuwa nachungulia chungulia...
  5. Senorita23

    JamiiForums Tanzania Kujifungua kwa upasuaji linaenda kuwa janga la Taifa

    Siku nyingine usirudia kuhara kwenye reply yangu naongea nnachokifahamu,
  6. Senorita23

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanaume haupaswi kula chakula kingi nyumbani heshima yako itashuka

    Au na mzee wangu atakuwa hivyo make ana mwili mkubwa ila anakula chakula hakiendani na mwili wake yaani maswala ya kula hayazingatii na akiwa home hawezi kula peke yake kama sio mkewe basi sie vihelehere tunaenda kumlisha baba chakula
  7. Senorita23

    JamiiForums Tanzania Kujifungua kwa upasuaji linaenda kuwa janga la Taifa

    Kwa kesi kama yako ni sawa kabisa,shida ni kwamba zingine zinafanywa kwa malengo binafsi ya kujipatia hela
  8. Senorita23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitumie nini ili niweze kumuadhibu mpenzi wangu mpaka majirani wasikie?

    Chukua eneji na panadol
  9. Senorita23

    JamiiForums Tanzania Sijapenda: Naibu katibu mkuu wa Chadema mh Benson Kigaila kufanya kazi ya Utarishi!

    Mambo yao waachie wenyewe deal na chama chako
  10. Senorita23

    JamiiForums Tanzania Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

    Na yule Juliana shonza?
  11. Senorita23

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

    Waende chato pale kaburini wakaomboleze
  12. Senorita23

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mdee na wenzake wafungue shauri waombe Mahakama Kuu izuie jaribio la kuwafuta Ubunge

    Wanasiasa sio watu wa kuamini
  13. Senorita23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya Wadada wa mitandaoni kuomba bando imekaaje?

    Wengine wako kwenye biashara stuka
  14. Senorita23

    JamiiForums Tanzania Nafanya kazi lakini nahisi kama nimeshafukuzwa

    Anza kutafta kazi hiyo ni taa nyekundu,inawezekana kampuni imekuwa ya undugu na wewe sio miongoni,kikubwa endelea kufanya kazi huku ukitafta kazi
  15. Senorita23

    JamiiForums Tanzania Bado dada wa kazi anahitajika

    Laki moja afu hawakai basi tatizo litakuwa kwenu maboss
Back
Top Bottom