Nimerejea

Senorita23

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
388
481
Wasalamu wapendwa wangu wa JamiiForums,

Nimekosekana jukwaani kwa miaka kadhaa hii ni kutokana na mihangaiko ya maisha yaani maisha yalinipiga plus magonjwa kiasi cha kukosa smart phone.

Kwa kipindi kirefu sikuweza kuingia JF ila namshukuru Mungu kuanzia sasa nitakuwa nachungulia chungulia humu.

Salamu zangu za dhati ziende kwa wanaJF wote.
 
Pole sana. Swali la kizushi, kwa muda wote huo uliwezaje kuwa bado unaikumbuka password? AU uliiandika pahala?
 
Wasalamu wapendwa wangu wa JamiiForums,

Nimekosekana jukwaani kwa miaka kadhaa hii ni kutokana na mihangaiko ya maisha yaani maisha yalinipiga plus magonjwa kiasi cha kukosa smrart phone.

Kwa kipindi kirefu sikuweza kuingia JF ila namshukuru Mungu kuanzia sasa nitakuwa nachungulia chungulia humu,

Salamu zangu za dhati ziende kwa wanaJF wote,
Pole sana na karibu sana.
 
Wasalamu wapendwa wangu wa JamiiForums,

Nimekosekana jukwaani kwa miaka kadhaa hii ni kutokana na mihangaiko ya maisha yaani maisha yalinipiga plus magonjwa kiasi cha kukosa smart phone.

Kwa kipindi kirefu sikuweza kuingia JF ila namshukuru Mungu kuanzia sasa nitakuwa nachungulia chungulia humu.

Salamu zangu za dhati ziende kwa wanaJF wote.
Uko wapi kwa sasa? Nataka nikupeleke sehemu kwa ajili ya Royal Tour kabla hujavamiwa na watu wasiojulikana.
 
Sema uko wap nikitumie tiket Ya ndege uje bujumbura usahau shida za tz Kama bwana lameck madelu alivyosema
 
Back
Top Bottom