Kujifungua kwa upasuaji linaenda kuwa janga la Taifa

Pia huu n mpango wa shetani.
Maana lengo la shetan n kuhakikisha yale Mungu alosema hayaendi kutokea "kazaeni muijaze duni" mtu akishajifungua kwa kupasuliwa anatakowa azae watoto 3 mwisho wanne tu.
Sasa kama mtu alitaka watoto wa 5 au 6 haiwezekan tena
kwa issue ya umasikin n sawa ila nje ya umasikin mtu afyatu kwel kwelj ili tupate nguvu kaz ya kutosha
Mpango wa shetani kivipi Kaka umesahau upo Kwenye Dunia ya utandawazi maisha yanabadilika Sana hatupo kama Zama hizo za kawaida .

Kuanzia chakula,mifumo ya kimaisha, magonjwa yamekuwa mengi,mbona hayo haujajiuliza unakimbilia shetani.

Au haujasimulia miaka ya zamani watu walikuwa wanakufa Kwa kujifungulia njiani ushawahi kuniuliza sababu ni nyingi.

Ulivyokuwa kichwa maji Mungu alisema zaeni mkaongezeke so aliyejifungua Kwa operation au kawaida wote si wamezaa au wewe ndo umezaa !?
 
Nadhan tuishie hapo mkuu.
Tunatofautiana ujuzi wa mambo ndo maana wewe unatumbo kubwa mi sina. Unakipara mi sina. Mfupi mi mrefu.
Hvyo hvyo kwenye ulimwengu wa pili. Yote ya mfumo wa vyakula nayajua vyema na hata mfumo wa maisha.
 
Kuna nurse kaniambia leo hii unanunua vifaa tu wewe mwenyewe lakini hakuna gharama zingine. Thanks mkuu
Ni bure kisera..na inafaamika hivyo Kwa hospitali za serikali nazo sio zote.

Ila hautajifungua bure kama inavyodhaniwa maana changamoto hospital nyingi za serikali vitu vya msingi vya mama mjamzito kujifungua Hamna hivyo utaingia gharama kununua kutoka mkononi mwako na Hapo bado Operations itabidi ulipie.
 
Back
Top Bottom