Recent content by senioswald

  1. S

    Eeh! Kumbe Lulu ni CHADEMA?

    marupurupu ya askari magereza
  2. S

    Aibiwa fedha zote kwenye akaunti kwa NBC MasterCard kupitia ATM

    tatizo la wizi wa mtandaoni, unaweza kuhisi na kung'ang'ana na ATM mashine kumbe wizi uko electronically zaidi na sio kwamba kuna mtu kaenda kusimama kwenye machine, watu wa benk upade wa IT wanajua la kufanya na ndo wanaweza kutoa majibu sahihi
  3. S

    Aibiwa fedha zote kwenye akaunti kwa NBC MasterCard kupitia ATM

    yaani haya ndo matatizo ya utandawazi, maana tunaletewa technology kabla ya kuandaliwa jinsi ya kuitumia, kutokana na hali hii ni bora kutochukua hizi master card maana jinsi unavyokuwa na uwezo wa ku access pesa yako zaidi ndo jinsi wizi unavyoongezeka maana unaweza kuibiwa pia kimtandao maana...
  4. S

    Umuhimu ya kuwa na mke

    walimu wa siku hizi wanasema "wanafunzi watasoma tuition":-*
  5. S

    UDOM kokotoeni hivi kupata asilimia...

    are you sure? toa reference
  6. S

    Haya huchangia Mwanaume kuwa mchovu kitandani

    hii topic ya ukweli, yaani masisita du hili linawahusu saaaaana
  7. S

    TCU yaidhalilisha UDSM...

    suala ni kusoma, wengi wanaenda chuo na ufaulu wa chini ila wanafanyaa vizuri sana ktk digrii zao, mi sioni kama kuna shida maana ufaulu/kutofaulu kiwango cha juu imetokana na mazingira ambayo wanafunzi walikuwa nayo huko sekondari na kwakuwa pale chuo wanakuwa na mazingira sawa "natural...
  8. S

    Undergraduate udsm 2012/2013_molecular biology and biotechnology

    usiwe na wasi maana pale mtajuana especially ktk discussion za CH100, CH111 nk
  9. S

    maajabu ya udsm

    huwezi kulinganisha researcher na anayekariri japo wote wanapatikana chuoni
  10. S

    ukusanyaji wa kodi kwa benk za mitandao nchini na sms zinazoenda ktk namba zenye mifumo ya 15575

    :A S cry:Nashukuru sana kwa uwepo wa mtandao huu wa jamii, hoja zangu ni: Hadi sasa imekuwa ni suala la kawaida kwa wenye mitandao ya simu za mikononi kuanzisha bank kama aitel money, tigo pesa, m pesa, n.k mimi sijajua hadi sasa serikali kupitia benk kuu(BOT) na TRA wanachukuliaje suala hii...
Back
Top Bottom