Eeh! Kumbe Lulu ni CHADEMA?

Eeh! Kumbe Lulu ni CHADEMA?

Kwani wewe hutaki awe Chadema,kumbuka Chadema kinadunda kotekote na sio Lulu tu wako kibao kwa umri kama wake Peoples Power
KUMBE CDM INADUNDA KOTEKOTE maana hata Marehemu Kanumba alikuwa akagombee huko Shinyanga, lakini km ni kotekote huyo Lulu ni Mrombo ambako ni kwa Selasini lakini km ni hiyo ishara ya manati ni kwamba kaomba Peace
 
Huyu mtt ni mkare balaa.
Usipo mnyonya humtendei haki.

Angevaa magamba, angepandisha hasira za watanzania.

Anafaa kusamehewa kwa mtaji huu.
 
KUMBE CDM INADUNDA KOTEKOTE maana hata Marehemu Kanumba alikuwa akagombee huko Shinyanga, lakini km ni kotekote huyo Lulu ni Mrombo ambako ni kwa Selasini lakini km ni hiyo ishara ya manati ni kwamba kaomba Peace

Ukwaju, ndugu Ukwaju na jina lako hivi umesoma shule ipi ya kata maake hata kiswahili chako hakijatulia kwa jinsi ulivyoandika kama ningekuwa Mwl wako wa shule ya mifereji wakati huo ningekuandikia umechanganya mambo na uzi wako haueleweki,any way nini ulimaanisha au nini ulitaka kuelezea the thinkes hebu tiririka
 
]akitoka huyo ni lazima atakua msagaji![/COLOR]

UBinadamu jamani kaazi kwelikweli yaani kati ya yoote unamtakia kuwa msagaji!!! kwanini huwezi kumtakia mema binadamu mwenzio hata kidogo??

Back
Top Bottom