Recent content by sempulinho

  1. S

    IST vs Runx

    Naomba kuuliza wadau kati IST na Runx IP gari imara kwa mazingira yetu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Gari ipi inafaa kwa Uber?

    Wapo wateja vichom et kama ingekuja gari mbaya nngecancel. Sema nafkr gar ikiwa kwenye usaf mteja hawez ku cancel
  3. S

    Gari ipi inafaa kwa Uber?

    Umenikumbusha mbal enz izo napiga uber. Nilikua na kitu cha Nissan wingroad. Full kuachiwa namba
  4. S

    Kioo cha Lenovo S650

    Habar wadau. Natafuta kioo na touch ya lenovo S650
  5. S

    Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu.

    Kwel kabsa mie napataga 10 GB free voda kila mwez
  6. S

    Kuseti radio ya gari toka japan kuwiana na frequency za bongo

    Ila awa wajapan ni balaaa maana ata kubadil lugha inashindikana. Kaka fanya mpngo kanunue iyo extender
  7. S

    Nauza Samsung Galaxy S7 Edge G935F

    Kiongoz nime pm
  8. S

    Naomba nisaidieni niweze kurudisha Ajira yangu ya Utumishi wa Umma

    Kwel kabsa inachukua muda mrefu sanaaaaa. Kuombq mungu tu
  9. S

    Dereva mzoefu wa Uber anahitajika haraka

    Mie ni dereva wa uber. Kama upo kwel unatafuta dereva ni Pm
  10. S

    Baada ya Serikali kusema ipo tayari kulipia matibabu ya Lissu; Peter Msigwa, Godbless Lema na Mbowe wakosoa kauli hiyo

    Uhai kwanza SIASA pemben. Kama kuna uhitaj wa TL kuhudumiwa zaid na hakunaa njia mbadala acha asaidiwe na serikal
  11. S

    Simba SC mmejipigia Yanga SC vya kutosha, sasa tupigie Azam FC

    Kwel simba wana foward ya ajabuuuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    Natafuta fundi wa Nissan wingroad

    Natafuta fundi wa Nissan wingroad Sent from my GT-I9105P using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom