dreams and visions
Member
- Jul 8, 2017
- 95
- 29
Tushirikishe na sisi....tununue izo gb5 kwa 2kVodacom Wananipa GB 5 Kwa 2000 For One Month.
Tushirikishe na sisi....tununue izo gb5 kwa 2kVodacom Wananipa GB 5 Kwa 2000 For One Month.
*149*03# Pia kuna GB 1 Kwa 1000.Hii unaipataje???
*149*03# pia kuna GB 1 kwa 1000 For Seven Days.Mdau Hiyo ya voda wanakuunganishaje?
Gb 5 kwa sh 2000 ni ofa maalum... Haipo kwa watu wote. Kujua ama unaofa hiyo nenda *149*01# alaf chagua yakwako tu.Tushirikishe na sisi....tununue izo gb5 kwa 2k
Nmeona kuna 2000 na 2500 sio mbaya lakini*149*03# pia kuna GB 1 kwa 1000 For Seven Days.
Enjoy!Nmeona kuna 2000 na 2500 sio mbaya lakini
Inakuajee hadi umepata hivyo?Vodacom Wananipa GB 5 Kwa 2000 For One Month.
Uweke na ya kutoleakuna jamaa alileta uzi wake jana ana huduma ya 4gb kwa elfu tatu.Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu. jana ameniunganisha imekubali wakuu .ni kweli nunueni
nilimtumia namba japo sijamlipa .nitalipa baadae kidogo
Hata mimi napewa gb 5 kwa 2000 kwa mwezi ila hata ukizimaliza siku hiyo hiyo unaruhusiwa jiunga tena.Inakuajee hadi umepata hivyo?