Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,148
- 137,142
- Thread starter
- #21
Wewe nyani si uweke bei
Nishaweka mbona...
Wewe nyani si uweke bei
Matani ya ngumiMi nahitaji mkoba huo.
Kiongoz nime pmSimu ipo kwenye hali nzuri kabisa [mint condition].
32GB
Rangi ni platinum gold
Factory unlocked
International version
Laki tano nakuachia mzigo
Bonus: waweza kukutana nami ana kwa ana.....
View attachment 636678 View attachment 636680 View attachment 636681
Kiongoz nime pm
Na kweli...kuna Dr Shika kaingiaBei gani Ngabu?
Naona mnada umeingiliwa.
Laki tano! Bei ya kiwanja,kiwanja ambacho akiozi
Bonus: waweza kukutana nami ana kwa ana.....
Ukiondoa hiyo Bonus bei ni kiasi gani?
Si ugawe tu kwa ndugu zakoSimu bado ipo....
Hapa sijaelewa kwa kweli. .Bei ni laki tatu tu karibu sana PM
Uko mkoa ganiUkiondoa hiyo Bonus bei ni kiasi gani?
Laki 5
Si ugawe tu kwa ndugu zako
Wajuba mnatuvuruga mbaya..Anayetaka hii simu Ni laki tatu Tu nendeni pm kwa Nyani Ngabu
